Kwa mnaojua English, ukiweza kunitafsiria hii Sentensi kwa Kiswahili nakulipia Kodi ya nyumba!

Kwa mnaojua English, ukiweza kunitafsiria hii Sentensi kwa Kiswahili nakulipia Kodi ya nyumba!

Na sisi ambao hatujapanga tunaishi kwenye nyumba zetu, i mean hatulipi kodi tunaruhusiwa kutranslate hicho kiparagraph??
 
Mod rekebisha Title isome "kwa mnaojua"

Wakuu,

Mimi ni mdau wa lugha ya Kiingereza. Paragraph hii ya chini nimeandika mwenyewe kwa misamiati ambayo sio ya kubuni, ipo kwenye Dictionary kabisa na wala sio misamiati ya kifamasia, ni English kama ilivyo. Wengi hudhani wanajua English wakati kila siku anawasiliana kwa kurudia maneno yale yale na misamiati ile ile bila kuji update. Sasa ukiweza kutafsri aya hii chini ikamake sense kabisa, Basi wewe hukukimbia umande, na English yako ni original sio ya tuition:

I am a ventriloquist with non-kleptomaniac or somnambulistic behaviour. I like pedancy and numismatistism because I used to be a charlatan with connoisseuric dipsomancism, I mentalurgically became anti-polyandrist. So I am technically kakistocracist, elopy and regicidal.

Hicho sio kiingereza ni Kilumumbism.
 
Una dalili zote kama upo sekondari hivi,hizi haziwezi kuwa akili za mtu mwenye maisha yake mtafutaji na anayejitegemea kwa kila kitu maishani,asa nikishajua ulichoandika,what the use with my daily life hustle?
huu ni ujinga kama ulivyo ujinga mwingine.
Mkuu mm ni msomi wa ughaibuni, nikarudi bongo kutumikia taifa. Ukiona naandika humu ujue kwa muda huo sina shughuli hapa ofcn hivyo ninarefresh tuuu.
 
Ebu ngoja mimi wa lasaba "B" nikae huku nyuma kabisa, niwe mtazamaji tu
 
Nazijua Bange / Bangi nyingi hapa Afrika ya Mashariki ila nadhani safari hii nikiijua aina ya Bange / Bangi unayoitumia Wewe naweza nikawa ni mwenye furaha sana kwani yawezekana hata Hayati Bob Marley hakuwahi kuitumia.
Mkuu, bange ninayotumia ni ya mpakani Somalia maeneo ya Gharsia. Huwa inakuja kwa Order. Back to the topic: NA WEWE UMEFELI KUTAFSIRI??
 
Google transilate imetapika baadhi ya maneno

Mimi ni mchezaji wa kisasa ambaye hana tabia ya kleptomaniac au somnambulistic. Ninapenda pedancy na numismatistism kwa sababu nilikuwa ni mshikamano na ujuzi wa ujuzi, nilikuwa kiakili kuwa anti-polyandrist. Kwa hiyo mimi ni mtaalamu wa kimaadili, mwenye ujuzi na regicidal.
mkuu hicho bado ni kiingereza, hujatafsiri kitu bado
 
Nazijua Bange / Bangi nyingi hapa Afrika ya Mashariki ila nadhani safari hii nikiijua aina ya Bange / Bangi unayoitumia Wewe naweza nikawa ni mwenye furaha sana kwani yawezekana hata Hayati Bob Marley hakuwahi kuitumia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nikicheki these comments nacheka sana..
 
Back
Top Bottom