Kwa mnaojua English, ukiweza kunitafsiria hii Sentensi kwa Kiswahili nakulipia Kodi ya nyumba!

Na sisi ambao hatujapanga tunaishi kwenye nyumba zetu, i mean hatulipi kodi tunaruhusiwa kutranslate hicho kiparagraph??
 
Hicho sio kiingereza ni Kilumumbism.
 
Mkuu mm ni msomi wa ughaibuni, nikarudi bongo kutumikia taifa. Ukiona naandika humu ujue kwa muda huo sina shughuli hapa ofcn hivyo ninarefresh tuuu.
 
Ebu ngoja mimi wa lasaba "B" nikae huku nyuma kabisa, niwe mtazamaji tu
 
Nazijua Bange / Bangi nyingi hapa Afrika ya Mashariki ila nadhani safari hii nikiijua aina ya Bange / Bangi unayoitumia Wewe naweza nikawa ni mwenye furaha sana kwani yawezekana hata Hayati Bob Marley hakuwahi kuitumia.
Mkuu, bange ninayotumia ni ya mpakani Somalia maeneo ya Gharsia. Huwa inakuja kwa Order. Back to the topic: NA WEWE UMEFELI KUTAFSIRI??
 
mkuu hicho bado ni kiingereza, hujatafsiri kitu bado
 
Nazijua Bange / Bangi nyingi hapa Afrika ya Mashariki ila nadhani safari hii nikiijua aina ya Bange / Bangi unayoitumia Wewe naweza nikawa ni mwenye furaha sana kwani yawezekana hata Hayati Bob Marley hakuwahi kuitumia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nikicheki these comments nacheka sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…