Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Watu ninaowakubali bongo ni Jack Patrick, huyu dada kabla hajaenda jela ndio alikuwaga ‘loli modo’ wangu. Yule mtu anajuaaaaaa! Jela kubaya karudi hana jipya.

Lulu wa zamani, sasa hivi haamshi tena anavaa kishangazi, lol
Hamisa yes ni wakati wake sasa.

Siku hizi hakuna mambo ya kuchafua red carpet kwenye ma events, watu wanavaa wanafanya photo shoot wanapost insta basi.
Fashion imepoteza maana.
Yuke jaklini kweli alikua hot Sana Tena Sana!!sijui Ndo karudi mambo yamempita Kawa wa kawaida sana
 
Nimefungua uzi wako nimestuka kuona moja ya mazombienla kike le kwenye thriller limetoroka kwenye ule wimbo wa MJ na kujipiga picha na kuirusha kwa mitandao
 
Of course, enzi zile tulikuwa 20's sasa hivi tunaongelea 30's na majukumu juu.
Lakini kubwa zaidi ni kujitambua, siwezi kushupaza akili kumpigania mtu kiasi kile tena, for what?
Huo muda nautumia na mtoto wa mtu basi.
Umri ulikua unaruhusu pia 😁
 
Ali Kiba muache please, nimeonana nae mara nyingi naweza kuthibitisha pasi na shaka hana tatizo hilo.
Wewe toto la kiarabu na Kiba ni damu dam sana tanguvenzi😂😂
 
Back
Top Bottom