Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Yuke jaklini kweli alikua hot Sana Tena Sana!!sijui Ndo karudi mambo yamempita Kawa wa kawaida sana
 
Nimefungua uzi wako nimestuka kuona moja ya mazombienla kike le kwenye thriller limetoroka kwenye ule wimbo wa MJ na kujipiga picha na kuirusha kwa mitandao
 
Of course, enzi zile tulikuwa 20's sasa hivi tunaongelea 30's na majukumu juu.
Lakini kubwa zaidi ni kujitambua, siwezi kushupaza akili kumpigania mtu kiasi kile tena, for what?
Huo muda nautumia na mtoto wa mtu basi.
Umri ulikua unaruhusu pia 😁
 
Ali Kiba muache please, nimeonana nae mara nyingi naweza kuthibitisha pasi na shaka hana tatizo hilo.
Wewe toto la kiarabu na Kiba ni damu dam sana tanguvenzi😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…