MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Na mbaya zaidi wanarusha hizi rockets huku wakitumia makazi ya watu yenye watoto na familia, hivyo Israel inajibu kwa umakini la sivyo Israel ina uwezo wa kuangamiza Gaza na kuifanya majivu tena ndani ya lisaa limoja tu.
Mnaosema HAMAS ni mgambo, hebu hapo ukiwa umevimbiwa ubwabwa Tandale waza mizinga ya rockets 7,400 yote ielekezwe kushambulia Dar, je mna uwezo wa kuyadungua kama walivyofanya Israel? Ama ndio mtafutika mkijiona.
Hayo mazombi ya HAMAS yenye mlengo wa kidini yamewekeza muda mrefu sana, yamechimba mahandaki chini yo misikiti na mahospitali na shule za watoto, mataifa ya Kiislamu kama Iran yamekua yakiwafadhili kwa muda mrefu ili yajipange, ila Mungu wa Wayahudi ameshinda 'mungu' wa hayo mataifa maana tumeshuhudia kilichotendeka.
================
The Iron Dome air defense system fires to intercept a rocket fired from the Gaza Strip, in Ashkelon, October 20, 2023. (AP Photo/Avi Roccah)
Terror groups have fired more than 7,400 rockets into Israel since October 7, says a government representative.
According to Government Press Office figures, the Iron Dome intercepted over 1,100 of these rockets, 550 misfired and fell inside Gaza, and more than 400 directly hit Israel.
The figures did not account for several thousand rockets, many of which may have fallen in open areas, although the government did not immediately qualify the discrepancy.
Times of Israel