MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Kiuhalisia Israel wameshindwa vita na HAMAS. Lengo la vita lilikuwa kuwakomboa mateka na kuwateketeza kabisa HAMAS. Hilo limeshindika na Mazayuni yamelazimika kukubaliana na HAMAS kubadilishana wafungwa wa Kipalestina 150 walioko kwenye jela za Israel kwa mateka 50. Katika sayansi ya kivita ukishindwa kufikia malengo technically umeshindwa vita.
Kulikuwa na sababu gani za kushambulia makazi ya raia na kuua raia wasio na hatia iwapo mlango wa kidiplomasia ulikuwa wazi? Huku ni kushindwa kwa mara ya pili kwa Israel baada ya mwaka 2006 kuchapwa na Hizboullah.
Ndio porojo mnazoaminishana huko, lengo lilikua kuhakikisha Gaza haiwi tatizo tena kwa Israel kwa miaka 100 ijayo na kwa kipigo mlichopokea mpaka hapo hamuwezi kuzingua, majengo 56,000 yameporomoshwa, mazombi yenu yameuawa zaidi ya 15,000 na bado Israel wanasema kipodo kitaendelea.
Suala la mateka imebidi Israel isitishe vita kwa shinikizo la Marekani maana humo kuna Wamarekani, ila Israel ilikua imeshahesabu kwamba imewapoteza na kutumia hiyo fursa kuwatia adabu na maugaidi yenu ya kidini.
