Kwa mnaosema Hamas ni mgambo, hebu waza mizinga ya rockets 7,400 yote ielekezwe Dar, mtapona?


Ndio porojo mnazoaminishana huko, lengo lilikua kuhakikisha Gaza haiwi tatizo tena kwa Israel kwa miaka 100 ijayo na kwa kipigo mlichopokea mpaka hapo hamuwezi kuzingua, majengo 56,000 yameporomoshwa, mazombi yenu yameuawa zaidi ya 15,000 na bado Israel wanasema kipodo kitaendelea.

Suala la mateka imebidi Israel isitishe vita kwa shinikizo la Marekani maana humo kuna Wamarekani, ila Israel ilikua imeshahesabu kwamba imewapoteza na kutumia hiyo fursa kuwatia adabu na maugaidi yenu ya kidini.
 
Hamas kundi teule
 
Hadi israel kakaa mezani na anaowaita magaidi maana yake ameshindwa vita tena mbaya unashindwa vita na mgambo
 
Sasa unataka warushe kutokea wapi wakati Gaza ni the most densely populated area on earth?. Hawana eneo la ziada la kurushia makombora yao ambalo halina watu.
Kama mnalijua hilo muache kulalamika kuwa Israel inaua watoto
 
Lengo kubwa kabisa la waarabu na magaidi wote ni kuifuta kabisa Israel kwenye ramani ya dunia sasa cha kujiuliza je hiyo ndoto imetimia safari hii....???😛😛😛
 
Hadi israel kakaa mezani na anaowaita magaidi maana yake ameshindwa vita tena mbaya unashindwa vita na mgambo
Sio mgambo ni magaidi. Vita dhidi ya magaidi yenye mlengo wa kidini ni ngumu siku zote.
Kama ilivyo Nigeria dhidi ya bokoharam, Kenya dhidi ya alshabaab
 
HAMAS ni wapigania uhuru.

Nitajie kikundi kimoja cha wapigania uhuru ambacho hakijawahi kuitwa magaidi!
PLO ya Yasser Arafat ndiyo wapigania uhuru hao Hamas ni wahuni na mashetani tu. Uhuru gani unaenda kumteka mtoto wa miaka minne na kwenda kumshikilia ktk handaki na kuchinja wajawazito, wapigania uhuru wanapigana na wanajeshi siyo hao mashetani wa Hamas.
 
Sio mgambo ni magaidi. Vita dhidi ya magaidi yenye mlengo wa kidini ni ngumu siku zote.
Kama ilivyo Nigeria dhidi ya bokoharam, Kenya dhidi ya alshabaab
Mimi naona kule boko haram kama wapo kisiasa kuna back u kubwa sana wanapata kama ilivyo vikundi vya waasi bya congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…