Kwa mnaosema Hamas ni mgambo, hebu waza mizinga ya rockets 7,400 yote ielekezwe Dar, mtapona?

Lengo kubwa kabisa la waarabu na magaidi wote ni kuifuta kabisa Israel kwenye ramani ya dunia sasa cha kujiuliza je hiyo ndoto imetimia safari hii....???πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Haijatimia lakini magaidi wa kizayuni wanaishi kwa hofu miaka yote
 
Hadi israel kakaa mezani na anaowaita magaidi maana yake ameshindwa vita tena mbaya unashindwa vita na mgambo

Gaza imerudishwa nyuma miaka kumi, mazombi ya dini yenu yameuawa 15,000 na mamilioni wanahangaika kama wakimbizi na mateka mumerejesha, ujue kweli madrassa huwafanya muwe zero brain.
 
Gaza imerudishwa nyuma miaka kumi, mazombi ya dini yenu yaneuawa 15,000 na mamilioni wanahangaika kama wakimbizi na mateka mumerejesha, ujue kweli madrassa huwafanya muwe zero brain.
Pesa inaongea itajengwa kama ilivyojengwa dubai kaa kwa kutulia
 
uharo mtupu.
 
Gaza imerudishwa nyuma miaka kumi, mazombi ya dini yenu yameuawa 15,000 na mamilioni wanahangaika kama wakimbizi na mateka mumerejesha, ujue kweli madrassa huwafanya muwe zero brain.
Mr Uharo kwenye ubora wake.
 
Pesa inaongea itajengwa kama ilivyojengwa dubai kaa kwa kutulia

Mazombi 15,000 hayatafufuliwa, na mengine mamilioni yanateseka huko nje ndio ujue mko zero brain, na kichapo kiko pale pale.
 
Are you sure vikundi hivi havimilikiwi na Taifa kubwa? Je wanapata wapi fedha, wanapata wapi silaha, wanapata wapi inteligency information, nani anawapa training? Maswali ni mengi sana majibu ni machache.. .kuna mtu mkubwa sana nyuma yao.

Angalia M23 wanakaa msituni huko lakini wana silaha za hatari, na supply yao haikatiki miaka nenda
 
Mazombi 15,000 hayatafufuliwa, na mengine mamilioni yanateseka huko nje ndio ujue mko zero brain, na kichapo kiko pale pale.
Hata waisrael nao wanakufa na hawakai kwa amani huyo netanyahu na wanaheshi wake waneshapoteana wanaishia kulaumiana wenyewe kwa wenyewe
 
Humu wengi wao wapo kishabiki na chuki, na sio uhalisia wenyewe
 
Kwa mnaosema Hamas ni mgambo, hebu waza mizinga ya rockets 7,400 yote ielekezwe Dar, mtapona?

Times of Israel

Tukiita huu UHARO uwa tunamaanisha
 
Hata waisrael nao wanakufa na hawakai kwa amani huyo netanyahu na wanaheshi wake waneshapoteana wanaishia kulaumiana wenyewe kwa wenyewe

Nyie mazombi yenu milioni leo hii yamekaa huko kwenye baridi yanategemea misaada, majengo yao yamebomolewa yote na yameuawa 15,000 na bado kichapo kiko pale pale ndio ujue hamuna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…