Kwa mnaosema Hamas ni mgambo, hebu waza mizinga ya rockets 7,400 yote ielekezwe Dar, mtapona?

Pale Gaza wazee,wamama,watoto na wanaume wote ni magaidi kabisa na nikupiga yote.
 
Elimu ndio tatizo hapo... mtu anaambiwa atapewa mabikra 72 wakati anaemwambia yupo anaburudika hapa hapa dunian...
Ndio yale yale eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika
Ww pamoja na elimu yako bado mmeruhusiwa wanaume kugeuzana.
 
Hapo tatizo ni dini, ila papa karuhusu mfirane mnaona sawa tu.
 
Hiyo nchi kubwa ni ipi inayochukua waislamu tu na kuwafanya magaidi na waislamu nao wanakubali na kwa nini isichukue wakristo basi na kwa nini hao magaidi waseme kwamba wanampigania mungu wao anayeitwa allah na wala sio Jehova. Tunaomba majibu na usiingie mitini.
 
Tumejua wanapojificha.....Bila bila
Kuna andaki tumeligundua...bila
Hamas hawatakuwepo Tena.😂
Spin tu.
 


Ok na lengo la Hamas lilikuwa nini.. kwa hiyo unataka kutuaminisha lengo la
Hamas ilikuwa kuvamia Israel na kuua au kuteka watu 200 tu ambao
Israel kashindwa kukomboa..

Yaan unawakosea sana Hamas kwa kuwaambia wameshinda utadhan lengo lao ni kuteka wa 200.. ila wao waangamizwe na kuharibiwa makaz ya nusu ya kizaz chako kisha useme wameshinda...

Watu hata wakiachiwa gaza itawachukua more than 10 yrs maisha kurud hali ya zaman useme wameshinda vita?
 
Kuna kitu kinaitwa Radicalization. Huwezi kuwafanya wakristu radical utatumia nguvu nyingi sana.

Unafahamu historia ya Osama Bin Laden? Kama hujui kaisome itafakari utajua na wahusika
 
Mungu yupi?
 
Yani Umenukuu mpaka habari kwa Kiingereza halafu bado hujajua Mgambo ni nini...!?

Hamas hata wangekua Na Nyuklia, bado ni Mgambo tu.
 
Hapo tatizo ni dini, ila papa karuhusu mfirane mnaona sawa tu.

Halafu huyu mwamba ndiye alikua anayafanya kabisa
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Sio mgambo ni kikundi cha magaidi yenye mlengo wa kidini.
Hata ANC waliitwa magaidi.

Hamas ni Freedom Fighters, Mandela aliolozeshwa katika list ya magaidi miaka hio.

Mimi Christian, ila nasimama na Palestina.

Israel, na huyu PM "bibi" ni kama wameleta ushamba Fulani kwenye hii vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…