SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Asilimia kubwa ya wabongo kudandia vitu ndio maana vitu vingi hawavielewi Bora mdau kwa kuleta andiko lako Hili linaweza likawasaidiaBaada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox
Lewis:
I'm the best ever. I’m the most brutal and most vicious and most ruthless champion there’s ever been. There’s no-one can stop me. I’m Alexander, he’s no Alexander. I’m the best ever. There’s never been anybody as ruthless. I’m Sonny Liston. I’m Jack Dempsey. There’s no one like me — I’m from their cloth. There’s no one that can match me. My style is impetuous. My defense is impregnable, and I’m just
ferocious. I want your heart. I want to eat his children. Praise be to Allah!
Msamaria mwema atafsiri kwa niaba.
namshauri Mwakinyo asikubali kupigana na Kiduku,huyu dogo ana punch nzito sana.
kwani anambeba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani anambeba?
wewe umejuaje wakati hawajawahi kupigana?Mwakinyo pamoja na dharau ila anapigwa vizuri tu na kiduku
Hakuna sehemu amewaponda au kuwajibu mashabiki. Tambo kwenye boxing ni muhimu. Tyson, Muhammad Ali, Joe Frazer, Mayweather Jr na wengine walikuwa wakiwatambia sana wapinzani wao na ulingoni walifanya kazi ya ziada.Baada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox