Kwa mnaosema Mwakinyo ana dharau na kejeli, pitieni interview hii ya Mike Tyson mtajifunza kitu kuhusu Boxing

Kwa mnaosema Mwakinyo ana dharau na kejeli, pitieni interview hii ya Mike Tyson mtajifunza kitu kuhusu Boxing

Yani wabongo sijui huwa wanawaza nini vichwani mwao? ... Mwakinyo amepambana sana mpaka kufikia hapa ... focus yake ni kujikuza zaidi kwa kutafuta mapambano ambayo yanaweza mpandisha rank, mapambano ya kimataifa ... mapambano ambayo yanamtoa hatua moja kwenda nyingine ulimwenguni.

Leo mtu kashiba zake kande na kwasababu tu ya ushabiki maandazi anataka Mwakinyo apambane na Kiduku. Kisa nini? Basi tu, Twaha anasema wananchi wapate ladha. Serious? Yani kustrive kote huko leo apambane kisa ladha? Aache kutafuta mapambano ya kimataifa, akapambanie kuwapa ladha watu wanaobishana vijiweni kwamba nani ni nani?

Stupid
 
Baada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox
Lewis:

I'm the best ever. I’m the most brutal and most vicious and most ruthless champion there’s ever been. There’s no-one can stop me. I’m Alexander, he’s no Alexander. I’m the best ever. There’s never been anybody as ruthless. I’m Sonny Liston. I’m Jack Dempsey. There’s no one like me — I’m from their cloth. There’s no one that can match me. My style is impetuous. My defense is impregnable, and I’m just
ferocious. I want your heart. I want to eat his children. Praise be to Allah!

Msamaria mwema atafsiri kwa niaba.
Asilimia kubwa ya wabongo kudandia vitu ndio maana vitu vingi hawavielewi Bora mdau kwa kuleta andiko lako Hili linaweza likawasaidia
 
Wabongo wanataka mwakinyo aseme kiduku ni bondia mzur anauwezo ni mkal how wap umeskia bondia anamsifia bondia mwenzake alafu uyo kiduku apambane na yeye atengeneze Jina sio atake kusafiria nyota mwakinyo akikubal kushindanishwa na bondia wa Bongo basi kaisha mfano ni Diamond mwanzo alikua anapiga Kaz balaa nje na kutafuta colabo za kimataifa na kwel alifanikiwa ila baada ya Kuja Kuanza kushindana yeye na alikiba ikawa ndio mwisho wake akitoa nyimbo ika hit kuliko Kiba basi anaona kaua kumbe anakufa yeye uzur ni kwamba now diamond kajitambua
 
Kuna tofauti kati ya maneno ya kiboxing ambayao hata mabondia wetu wa kibongo wanaongea sana tu na watu hawajaji km wana dharau na maneno ya Mwankinyo, ni km yule maskini akipata matako hulia bwata.
 
Mwakinyo pamoja na dharau ila anapigwa vizuri tu na kiduku
 
Bora Mwakinyo aendelee kupgana na mabeberu . TWAHA NAYE AWAPGE WAZUNGU NDO APAMBANE NA MWAKINYO
 
Kiduku ni mpiganaji mzuri lakini amekosa ngumi za kumalizia pambano, anauwezo wa kumpiga mpinzani wake ngumi za usoni nyingi na bado mpainzani wake akaendelea kuhimili pambano.
Hii imekua tofauti na Mwakinyo akikupiga ngumi za uso lazima uende chini. Ngumi za kiduku hazina uzito.
 
Maandishi madogo mno sioni vizuri ningetafsiri.
 
Mbona uzito tofauti? Hapo utoke super welter weight uje middle then uidake super middle weight. Mwakinyo ana punch nzito kuliko Twaha. Twaha anapush hapunch. Ndo maana ni ngumu kumpiga mtu akadondoka kwa kupoteza faham. Kijana wenu Twaha muongezee skills. Akishambulia hana break kwa maana akilikosa shambulizi hana extra
 
Baada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox
Lewis:

I'm the best ever. I’m the most brutal and most vicious and most ruthless champion there’s ever been. There’s no-one can stop me. I’m Alexander, he’s no Alexander. I’m the best ever. There’s never been anybody as ruthless. I’m Sonny Liston. I’m Jack Dempsey. There’s no one like me — I’m from their cloth. There’s no one that can match me. My style is impetuous. My defense is impregnable, and I’m just
ferocious. I want your heart. I want to eat his children. Praise be to Allah!

Msamaria mwema atafsiri kwa niaba.
Hakuna sehemu amewaponda au kuwajibu mashabiki. Tambo kwenye boxing ni muhimu. Tyson, Muhammad Ali, Joe Frazer, Mayweather Jr na wengine walikuwa wakiwatambia sana wapinzani wao na ulingoni walifanya kazi ya ziada.
Mwakinyo anawatambia mashabiki halafu akifika ulingoni anapiga magoti asamehewe kipigo.
Hakuna alichofanya kinasadifu alichofanya Tyson hata chembe.
 
Back
Top Bottom