SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Yani wabongo sijui huwa wanawaza nini vichwani mwao? ... Mwakinyo amepambana sana mpaka kufikia hapa ... focus yake ni kujikuza zaidi kwa kutafuta mapambano ambayo yanaweza mpandisha rank, mapambano ya kimataifa ... mapambano ambayo yanamtoa hatua moja kwenda nyingine ulimwenguni.
Leo mtu kashiba zake kande na kwasababu tu ya ushabiki maandazi anataka Mwakinyo apambane na Kiduku. Kisa nini? Basi tu, Twaha anasema wananchi wapate ladha. Serious? Yani kustrive kote huko leo apambane kisa ladha? Aache kutafuta mapambano ya kimataifa, akapambanie kuwapa ladha watu wanaobishana vijiweni kwamba nani ni nani?
Stupid