Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Whatsapp yangu ya Namba yangu ya Dubai umeharibika hivyo napatikana kwa Whatsapp ya namba yangu ya TanzaniA
Hii ni 'Red flag' tayari broo.
Unatangaza biashara (ya tour guide) halafu umeshindwa kurekebisha au kununua namba ya whatsapp?!!!

Ukute upo hapo Tuangoma tu maana siku hizi ujanja mwingi
 
Nipo kaka nipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…