Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
basi sawa.sio kweli.kwa huyu jamaa.hustle zake zinaonekana na ana nia ya kisaidia watu wakajitafute.hayo mambo ya kupima kina Cha maji kwa kuyaangalia utapotea.anaweza akaja kavaa suti Kali na alafu akawa mpigaji.aje kavaa hata mashuka au kakonda kama Chelewa lakini asiwe mpigaji.