Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Hii picha ni kama nafananisha na jamaa mmoja niliyekutana naye pale dubai airport ule upande wa emirates nikiwa narudi nyumbani ukaniomba nikuletee kipaseli huku bongo.Ila nikagoma.sababu kilikuwa kimeahafungwa tayari so sikujua ndani kilikuwa na nini.
Sijawahi kumuomba mtu aniletee parcels...acha uongo kamanda 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Dubai road
images (3).jpeg
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Daah!😂😂🙆‍♂️
 
Ndugu yangu Wana wivu tu...pengine tokea azaliwe sehemu nzuri aliyo wahi kutembelea ni dar es salaam na cocobeach🤣🤣🤣​
ukiwa na metality hiyo kwa ushauri unaopewa hufiki popote. nadhani jamaa hakumaanisha uwembamba wako alivyosema muonekano. yote tis first impression matters a lot. jaribu kusikiliza ushauri uchambue utakusaidia na usijione bora kufika Dubai. labda kwa wasiojua ila nauli ya dubai kuna mda inashuka hadi $200 ambayo nadhani wadau wanaweza wakaimudu.
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Wanasema don't judge a book by its cover.
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
🤣🤣🤣
 
Naomba kuuliza. Hivi Dubai kuna watalii wa ngono? Nina maana kuwa kuna wale watalii wanaoenda sehemu kwa ajili ya kupata vimwana. Au huko kuna sheria kali? Kuna wadada wanaojiuza?
Wengi sana Tena wa kimataifa unaweza kufanya ngono na watu wa mataifa MBALI mbali, WAFILIPINO, Wanaigeria, waghana, watanzania, wachina wazungu...!

Ni wewe na pesa zako tu...Ile sio nchi ya dini ni nchi iliyotengwa kwaajili ya starehe...!​
 
ukiwa na metality hiyo kwa ushauri unaopewa hufiki popote. nadhani jamaa hakumaanisha uwembamba wako alivyosema muonekano. yote tis first impression matters a lot. jaribu kusikiliza ushauri uchambue utakusaidia na usijione bora kufika Dubai. labda kwa wasiojua ila nauli ya dubai kuna mda inashuka hadi $200 ambayo nadhani wadau wanaweza wakaimudu.
Sawa sijamkataza kuja...🤣🤣🤣
 
Wengi sana Tena wa kimataifa unaweza kufanya ngono na watu wa mataifa MBALI mbali, WAFILIPINO, Wanaigeria, waghana, watanzania, wachina wazungu...!

Ni wewe na pesa zako tu...Ile sio nchi ya dini ni nchi iliyotengwa kwaajili ya starehe...!​
Kwa hiyo huko buoa average price bei gani kwa kijana wa uchumi wa kitz?
 
But sometimes the cover of the book has to be appealing enough to intrigue a person to read it.
sio kweli.kwa huyu jamaa.hustle zake zinaonekana na ana nia ya kisaidia watu wakajitafute.hayo mambo ya kupima kina Cha maji kwa kuyaangalia utapotea.anaweza akaja kavaa suti Kali na alafu akawa mpigaji.aje kavaa hata mashuka au kakonda kama Chelewa lakini asiwe mpigaji.
 
Back
Top Bottom