Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo. Dubai ni nchi ambayo kipato chake kwa kiasi fulani kinategemea uzalishaji mdogo wa mafuta kulinganisha na kiasi kikubwa cha mafuta kinacho patikana nchini Qatar, pato la nchi ya Dubai linategemea sana Utarii, na biashara mbali mbali zilizowekezwa na watu kutoka mataifa mbali mbali.

kutokana na nchi hiyo kuwa huru ki biashara na sera ya nchi hiyo ya kuondoa ushuru kwa wafanya biashara kumepelekea bidhaa nyingi nchini humu kuwa na bei nafuu, kulinganisha na masoko ya nchi nyingine.

bidhaa ambazo unaweza kuzipata kwa bei nafuu ni.
1. vifaa vya umeme
2. simu na vifaa vya simu.
3. computer na vifaa vya computer
4. vifaa vya magari
5. magari yaliyotumika

vitu hivyo vyote unaweza kuvipata either vikiwa vimetumika ama vikiwa vipya kabisa.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

GHARAMA UTAKAZO TUMIA KUTEMBELEA NCHI YA DUBAI

Dubai kama nchi iliyo endelea kuna hotel za Gharama na zile za hali ya chini, leo tutaangalia gharama za chini kabisa utakazo tumia endapo utaamua kutembelea Dubai.

maxmum ukiwa na shilingi milioni 5 zinaweza kukutosha kwenda dubai kuishi mwezi mmoja na kurudi.
gharama hizo zitakuwa ni pamoja na nauli ya kwenda na kurudi, gharama za visa, gharama ya sehemu ya kulala pamoja na chakula muda wote utakao ishi huko kwaajiri ya matembezi ya kiutalii.

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}
kwahiyo ulisomea tourgide
 
Still nipo Dubai, hao waganda ni watu wengine wanaojifunza scamming kama wenzao Nigerian na uwa nashangaa upo na akili zote hadi unafika Dubai then mtu anakuja kukutapeli huku kwa maneno 😅😅😅, anyway kila mtu ana mjanja wake.

Watz bado tupo Wachache ukilinganisha na mataifa mengine ya Africa nafikiri hata Kenya ni wengi kuliko sisi kwa Dubai.
Ni kweli kabisa...! Unacho zungumza ndugu yangu tutafutane...Sisi ni ndugu
 
Umeandika ukweli mtupu, binafsi ningefanya kama ulivyo andika. Huyu ilipaswa atafute kazi kwa muda huu afanye wakati huo akizoea na kupata ufahamu wa mji kisha baada ya hapo anaweza kufanyia jambo wazo lake.
IDDY S MHANDO ana muda mfupi sana dubai, ni ajabu leo hii anataka kutembeza watu kona za huko.

2. Umekuwa attention sana kuwa katika midomo ya watu kila wakati. Ulitakiwa utulie na kufocus kwa kile kilichokupeleka kwanza. Ukusanye pesa/ mtaji then ndo uangalie fursa zingine (side hustling). Utajikuta kila kitu unakitaka alaf sio efficient kwa wakat huo

3. Jamii forum sio mahala sahihi kwq marketing has hasa ya sasa. Mana hata hata watu wa kuja huko kufanya utalii hawawez kuwa wengi. Watu wengi humu ni wasaka fursa kama mm na wew. So usiipe attention saana kweny plan zako kubwa kubwa kama hizi
 
Umeandika ukweli mtupu, binafsi ningefanya kama ulivyo andika. Huyu ilipaswa atafute kazi kwa muda huu afanye wakati huo akizoea na kupata ufahamu wa mji kisha baada ya hapo anaweza kufanyia jambo wazo lake.
Msijali...Kila kitu kitaenda sawa tu...!
 
Rafiki yangu ulienda bila kuwa na mtu anae kujua hakuna sehemu yenye maelekezo mengi kama Dubai...Yani ukiangukia mikononi mwa vidada vya kihindi vinavyo jifanya vina ofisi za uagent lazima wakuombe pesa kwaajili ya visa change 🤣

Ila ukiwa na mtu anae kujua unatoa commission unaingia kazini...na yupo agent kwenye kituo fula kinaishia na DG...huyo agent achukui hata mia Yako ila ukipata kazi ukaikubali na boss akakukubari ndio either uwalipe commission yao au uwape kidogo kidogo mpaka utakapo malizana nao...!

ULIENDA BILA KUWA NA MTU WA KUKUELEKEZA...!​
Sasa Mkuu kwanini usifanye hizo kazi maana tayari unaonekana una exposure nazo zaidi kuliko hii ya kupokea na kutembeza wageni toka Tz,.. ama hii umeona inalipa zaidi ya hizo za kuajiriwa?! Samahani lakini... don't get offended.!
 
Mimi napenda kuwa huru...hivi sasa nimeshaanza kufanya biashara zangu...hivyo nikianza kuhangaika na watu wanao jitafuta watanipotezea muda...!

Imagine mtu anakutafuta kuwa umtafutie kazi mwisho wa siku kazi ikimshinda tunaanza kusumbuana tena...!​
 
Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo. Dubai ni nchi ambayo kipato chake kwa kiasi fulani kinategemea uzalishaji mdogo wa mafuta kulinganisha na kiasi kikubwa cha mafuta kinacho patikana nchini Qatar, pato la nchi ya Dubai linategemea sana Utarii, na biashara mbali mbali zilizowekezwa na watu kutoka mataifa mbali mbali.

kutokana na nchi hiyo kuwa huru ki biashara na sera ya nchi hiyo ya kuondoa ushuru kwa wafanya biashara kumepelekea bidhaa nyingi nchini humu kuwa na bei nafuu, kulinganisha na masoko ya nchi nyingine.

bidhaa ambazo unaweza kuzipata kwa bei nafuu ni.
1. vifaa vya umeme
2. simu na vifaa vya simu.
3. computer na vifaa vya computer
4. vifaa vya magari
5. magari yaliyotumika

vitu hivyo vyote unaweza kuvipata either vikiwa vimetumika ama vikiwa vipya kabisa.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

GHARAMA UTAKAZO TUMIA KUTEMBELEA NCHI YA DUBAI

Dubai kama nchi iliyo endelea kuna hotel za Gharama na zile za hali ya chini, leo tutaangalia gharama za chini kabisa utakazo tumia endapo utaamua kutembelea Dubai.

maxmum ukiwa na shilingi milioni 5 zinaweza kukutosha kwenda dubai kuishi mwezi mmoja na kurudi.
gharama hizo zitakuwa ni pamoja na nauli ya kwenda na kurudi, gharama za visa, gharama ya sehemu ya kulala pamoja na chakula muda wote utakao ishi huko kwaajiri ya matembezi ya kiutalii.

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}
Hii picha ni kama nafananisha na jamaa mmoja niliyekutana naye pale dubai airport ule upande wa emirates nikiwa narudi nyumbani ukaniomba nikuletee kipaseli huku bongo.Ila nikagoma.sababu kilikuwa kimeahafungwa tayari so sikujua ndani kilikuwa na nini.
 
Back
Top Bottom