Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Mnaponda kujifurahisha tuu, watu serious wanaotaka hiyo huduma watauliza maswali serious sio kuponda mwonekano wa mtu usiyemjua , hiyo huduma ni muhimu sana, niliwahi kwenda Paris kutembea tuu nikaunganishwa na jamaa from west Africa kwa malipo ili ani tembeze na trip ilikuwa very successful and stress free, acheni ujinga na ushamba
 
asante rafiki yangu kwa kunielewa unajua watu ambao hawajawahi kutembea nchi za watu zenye ustaarabu wanazani kuwa utaperi unaweza kufanyika kama inavyo fanyika Tanzania...kwakweli kwa nchi za wenzetu wamefanikiwa sana kwa kiasi kikubwa kuzuia janja janja...ndio maana sehemu kama dubai ndio mahala pekee ambako mwanamke anaweza kutembea saa 8 za usiku bila kusindikizwa...lakini wabongo ukiwaambia hilo watakubishia
 
Hapa ni wapiiii?
Steel City...

1718495857006.png
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Acha dharau dogo
 
Back
Top Bottom