cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hongera sana mkuu, msalimie Ivan toney. HuhuhKwa mfalme chalesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu, msalimie Ivan toney. HuhuhKwa mfalme chalesi
Hata Mimi Nimeliona Hilo alafu nina wasiwasi na huyu jamaa nahisi Kama vile🌈Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.
Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?
Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo. Dubai ni nchi ambayo kipato chake kwa kiasi fulani kinategemea uzalishaji mdogo wa mafuta kulinganisha na kiasi kikubwa cha mafuta kinacho patikana nchini Qatar, pato la nchi ya Dubai linategemea sana Utarii, na biashara mbali mbali zilizowekezwa na watu kutoka mataifa mbali mbali.
kutokana na nchi hiyo kuwa huru ki biashara na sera ya nchi hiyo ya kuondoa ushuru kwa wafanya biashara kumepelekea bidhaa nyingi nchini humu kuwa na bei nafuu, kulinganisha na masoko ya nchi nyingine.
bidhaa ambazo unaweza kuzipata kwa bei nafuu ni.
1. vifaa vya umeme
2. simu na vifaa vya simu.
3. computer na vifaa vya computer
4. vifaa vya magari
5. magari yaliyotumika
vitu hivyo vyote unaweza kuvipata either vikiwa vimetumika ama vikiwa vipya kabisa.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!
GHARAMA UTAKAZO TUMIA KUTEMBELEA NCHI YA DUBAI
Dubai kama nchi iliyo endelea kuna hotel za Gharama na zile za hali ya chini, leo tutaangalia gharama za chini kabisa utakazo tumia endapo utaamua kutembelea Dubai.
maxmum ukiwa na shilingi milioni 5 zinaweza kukutosha kwenda dubai kuishi mwezi mmoja na kurudi.
gharama hizo zitakuwa ni pamoja na nauli ya kwenda na kurudi, gharama za visa, gharama ya sehemu ya kulala pamoja na chakula muda wote utakao ishi huko kwaajiri ya matembezi ya kiutalii.
Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.
Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!
Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen
{+971581480619 Whatsapp}
Kumbe na wewe hua unacoment maana kunamtu Amesema eti wewe kazi yako ku like tu.Kwa mfano mtu ni mgonjwa mahututi na akamkuta jamaa ndio Dr wa kumfanyia upasuaji etc je angeangaliwa kwanza muonekano wake
NB Kuna baadhi ya kazi mtu ukifanya muonekano na haiba ni muhimu kuzingatia
mkuu Washing mashine automatic nzuri ya kilo 10 inapatikana kwa Tsh ngap?Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?
Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo. Dubai ni nchi ambayo kipato chake kwa kiasi fulani kinategemea uzalishaji mdogo wa mafuta kulinganisha na kiasi kikubwa cha mafuta kinacho patikana nchini Qatar, pato la nchi ya Dubai linategemea sana Utarii, na biashara mbali mbali zilizowekezwa na watu kutoka mataifa mbali mbali.
kutokana na nchi hiyo kuwa huru ki biashara na sera ya nchi hiyo ya kuondoa ushuru kwa wafanya biashara kumepelekea bidhaa nyingi nchini humu kuwa na bei nafuu, kulinganisha na masoko ya nchi nyingine.
bidhaa ambazo unaweza kuzipata kwa bei nafuu ni.
1. vifaa vya umeme
2. simu na vifaa vya simu.
3. computer na vifaa vya computer
4. vifaa vya magari
5. magari yaliyotumika
vitu hivyo vyote unaweza kuvipata either vikiwa vimetumika ama vikiwa vipya kabisa.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!
GHARAMA UTAKAZO TUMIA KUTEMBELEA NCHI YA DUBAI
Dubai kama nchi iliyo endelea kuna hotel za Gharama na zile za hali ya chini, leo tutaangalia gharama za chini kabisa utakazo tumia endapo utaamua kutembelea Dubai.
maxmum ukiwa na shilingi milioni 5 zinaweza kukutosha kwenda dubai kuishi mwezi mmoja na kurudi.
gharama hizo zitakuwa ni pamoja na nauli ya kwenda na kurudi, gharama za visa, gharama ya sehemu ya kulala pamoja na chakula muda wote utakao ishi huko kwaajiri ya matembezi ya kiutalii.
Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.
Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!
Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen
{+971581480619 Whatsapp}
mkuu Washing mashine automatic nzuri ya kilo 10 inapatikana kwa Tsh ngap?
sometimes we need to be real nigga...maisha fake sio wala nini...mbona facebook tunaweka...!hahahaha mwamba sijui amewaza nini kuweka picha humu
Sasa mkuu naomba niongezee hapo kwenye Bandiko Lako na ni kama ushauri kwa watu wanotaka kupata fursa UAE,
Ingekuwa vizuri Kama ungeelezea ukweli pia kuwa hata huku UAE kwa kipindi hiki kazi zimekuwa ngumu kidogo na Unemployment rates inaongezeka kutokana na data zao ndio maana pia wamekuja strictly kidogo kwenye Visa zao kwasababu Watu wanaokuja kutafuta kazi ni wengi kuliko kazi zenyew huku, Nawafahamu watu wengi ambao wamekuja Dubai na wakashindwa kupata kazi na wakarudi na wengine wameamua kuingia Overstay (ambapo overstay kuajiriwa ni another mystery mostly kama una overstay na umetokea Africa) Pia kingine makampuni mengi ayachukui waafrika (Weusi) kwasababu Tu baadhi ya Nchi kutokea Africa inatakiwa walipe pesa zaidi wakati wa kufanya Visa japo so wanafaya kama samaki mmoja akioza basi wote wameoza.
Kwahiyo kuja Dubai sio shida kama ni Tour but kwa kazi kidogo imekuwa tofauti sio kama zamani, na waafika tumekuwa wabaya Sana wenyew kw wenyew nimeona watu wengi wakiwa wanaachwa kwenye mataa na watu waliowaleta huku na baadae wanaishia kujilaumu uhamuzi waliofanya kuja Dubai.
Thanks.
Kazi za kununua Nina experience nazo sana na 50% ni scamming nilishawah na hasa hizo za security ndio balaa watu wanalizwa sana na hao wahindi wenye hizo kampuni utaambiwa ununue kazi baadae ulipie pesa ya SIRA ambayo kisheria ni muhajiri wako inabidi akulipie but wengi wao wanakuchaji na inabidi ulipie Visa yako ya kazi 😵💫😵💫, nilishawahi kufanya Interview za hao jamaa zaidi ya Kumi but mwishoni unakuja kupewa gharama za kulipia kabla ya kuajiriwa 😅😅(5000aed) and ukishalipia unakaa accommodation bila mshahara mpaka upate site ya kwenda, utakula vyakula vya kihindi hadi ukome 😂😂😂,Total true... kwenye swala la ajira ni changamoto but kitu pekee anacho takiwa kufanya mtafuta kazi ni kuwa na bajeti ya kununulia kazi...ni nadra sana upate kazi bila kutoa commission...!
Na kuingia pia sio ngumu ukiwa na pesa maana airport utatakiwa kuonyesha pesa nadhani ni dirhams 3000/= kwa wenye Visa ya mwezi mmoja ama 6000 kwa wenye Visa ya miezi 2. Hizo pesa unatakiwa uwe nazo cash mkononi au kwenye credit card...!
Kazi za kununua Nina experience nazo sana na 50% ni scamming nilishawah na hasa hizo za security ndio balaa watu wanalizwa sana na hao wahindi wenye hizo kampuni utaambiwa ununue kazi baadae ulipie pesa ya SIRA ambayo kisheria ni muhajiri wako inabidi akulipie but wengi wao wanakuchaji na inabidi ulipie Visa yako ya kazi 😵💫😵💫, nilishawahi kufanya Interview za hao jamaa zaidi ya Kumi but mwishoni unakuja kupewa gharama za kulipia kabla ya kuajiriwa 😅😅(5000aed) and ukishalipia unakaa accommodation bila mshahara mpaka upate site ya kwenda, utakula vyakula vya kihindi hadi ukome 😂😂😂,
anyway najua kila mtu yupo na bahati yake kila kitu ni kujaribu.
Aaahh sawa mkuu hapo unamaanisha huyo agent yupo sharaf DG,… C ndio?Rafiki yangu ulienda bila kuwa na mtu anae kujua hakuna sehemu yenye maelekezo mengi kama Dubai...Yani ukiangukia mikononi mwa vidada vya kihindi vinavyo jifanya vina ofisi za uagent lazima wakuombe pesa kwaajili ya visa change 🤣
Ila ukiwa na mtu anae kujua unatoa commission unaingia kazini...na yupo agent kwenye kituo fula kinaishia na DG...huyo agent achukui hata mia Yako ila ukipata kazi ukaikubali na boss akakukubari ndio either uwalipe commission yao au uwape kidogo kidogo mpaka utakapo malizana nao...!
ULIENDA BILA KUWA NA MTU WA KUKUELEKEZA...!
Ila pia Niko against na Commissions JOBs kwasababu kwa experience najua watu wengi wamelizwa na hizo style za job kwasababu wengi wanazinguliwa baada ya Recognition period zile siku 90 unatemwa bila mkataba na umeshagharamika kulipia hiyo kazi.Rafiki yangu ulienda bila kuwa na mtu anae kujua hakuna sehemu yenye maelekezo mengi kama Dubai...Yani ukiangukia mikononi mwa vidada vya kihindi vinavyo jifanya vina ofisi za uagent lazima wakuombe pesa kwaajili ya visa change 🤣
Ila ukiwa na mtu anae kujua unatoa commission unaingia kazini...na yupo agent kwenye kituo fula kinaishia na DG...huyo agent achukui hata mia Yako ila ukipata kazi ukaikubali na boss akakukubari ndio either uwalipe commission yao au uwape kidogo kidogo mpaka utakapo malizana nao...!
ULIENDA BILA KUWA NA MTU WA KUKUELEKEZA...!
Aaahh sawa mkuu hapo unamaanisha huyo agent yupo sharaf DG,… C ndio?
Anyway mi nilikwenda alone na sikuwaga na Agent tangu natoka Tz adi nikafika Dubai mwenyew, though my Target ilikuwa Sharjah kwa sababu zangu binafsi ila nikaishia Dubai, though nasikiaga kuna agents ambao ni Genuine ila 1-10(hapo unabakia na 3) Tu , but anyway mi nasemaga siku zote ni bahati yako Tu kupata kazi Dubai na uwe na Target ya Mshahara unahoitaji la sivyo Dubai pia kuna mishahara ambayo aiendani na Life la Dubai…
Ila pia Niko against na Commissions JOBs kwasababu kwa experience najua watu wengi wamelizwa na hizo style za job kwasababu wengi wanazinguliwa baada ya Recognition period zile siku 90 unatemwa bila mkataba na umeshagharamika kulipia hiyo kazi.
Yap hiyo ni sababu mojawapo 😃Yap ni sharaf DG nadhani exit two...ukitoka nje Kuna kimgahawa ambako Kuna njia inayo pita kwenye kati kati ya ghorofa...kwenye Hilo ghorofa ground floor ambako Kuna njia ya kutokea upande wa pili...kati kati ya hiyo njia...upande wa kushoto Kuna agent genuinely kabisa....!
Miongoni kwa wafanyakazi wa hiyo ofisi Kuna mganda mmoja...wako poua sana...!
Na nadhani ulipapenda sharja kwasababu ya computer tu🤣🤣🤣
Upo tz au wapi ndugu yangu...!Yap hiyo ni sababu mojawapo 😃
Still nipo Dubai, hao waganda ni watu wengine wanaojifunza scamming kama wenzao Nigerian na uwa nashangaa upo na akili zote hadi unafika Dubai then mtu anakuja kukutapeli huku kwa maneno 😅😅😅, anyway kila mtu ana mjanja wake.Ni changamoto sana kwa kweli Dubai...na watanzania wa huko most of them ni masnitch kinouma watanzania tunaishi kama vile hatutoki nchi moja...tofauti na wenzetu wanaotoka mataifa mengine...!
Upo wapi siku hizi...?