mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi.
Kwa kifupi hata hili jeshi letu ni jeshi mdebwedo, ni jeshi mchelemchele, jeshi lililodhibitiwa na Jasusi la kuzimu Mafwele
Jeshi letu ni hovyo kabisa
Kwa kifupi hata hili jeshi letu ni jeshi mdebwedo, ni jeshi mchelemchele, jeshi lililodhibitiwa na Jasusi la kuzimu Mafwele
Jeshi letu ni hovyo kabisa