Kwa Mnaouliza kama Tz inajeshi , majibu yenu mafwele amewapa

Kwa Mnaouliza kama Tz inajeshi , majibu yenu mafwele amewapa

Mbwa keshapata kichaa,

Mwenye mbwa afanye maamuzi magumu.
 
Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi.
Kwa kifupi hata hili jeshi letu ni jeshi mdebwedo, ni jeshi mchelemchele, jeshi lililodhibitiwa na Jasusi la kuzimu Mafwele
Jeshi letu ni hovyo kabisa
Mafuel amelidhalilisha sana jeshi letu la wananchi...yaani JWTZ anadakwa kama kuku na Raia Mkakamavu?

ALiyekamatwa BOT ni wazi aliyempa siri Mange kwamba Binti Chura kachapisha Manoti.
 
Back
Top Bottom