mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Jasusi Mafwele linakamata Hadi mabregadia wa jeshiUlikua hujui kwamba polisi Ina nguvu kuliko JWTZ? 😁😁
Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi.
Kwa kifupi hata hili jeshi letu ni jeshi mdebwedo, ni jeshi mchelemchele, jeshi lililodhibitiwa na Jasusi la kuzimu Mafwele
Jeshi letu ni hovyo kabisa
🤣🤣🤣 hawamjui chief mafweleUlikua hujui kwamba polisi Ina nguvu kuliko JWTZ? 😁😁
UMEKULA UMESHIBA NAUSHUZI JUU..MDOMO NI MALI YAKO..ONGEA HUMU HUMU USIOMBE UKAINGIA NDANI YA 18 ZAO.Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi.
Kwa kifupi hata hili jeshi letu ni jeshi mdebwedo, ni jeshi mchelemchele, jeshi lililodhibitiwa na Jasusi la kuzimu Mafwele
Jeshi letu ni hovyo kabisa
AiseeeUnaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi...
- Mshana Jr
- Replies: 204
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Jeshi linatia aibu sanaKirefu cha JWTZ ni Jeshi la WAOGA Tanzania. Kama wao wangekuwa ni wanaume wangeshatoa huu upuuzi wa ccm na utekaji ungeisha. Ila kwakuwa wao ni Jeshi la WAOGA Tanzania acha mafwele awanyooshe.
Jeshi la WAOGA Tanzania (JWTZ). Ni aibu kubwa mno.Jeshi linatia aibu sana