BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Sio kwa sababu ana rap kiingereza bali ni kwa sababu anafanya vizuri international na muendelezo wa kutoa jiwe juu ya jiwe investment ya uhakika kwenye audio na video.Kwasababu ana rap kingereza?
Mbona kama ni hivyo basi hamfikii hata Mex
Huyo Mex Cortez ni kiumbe mwingineKwasababu ana rap kingereza?
Mbona kama ni hivyo basi hamfikii hata Mex
Ukizungumzia international jamaa hana mpinzani. Ila kwa challenge kama alivyotaka ngoja kuna vichwa vitamkalishaSio kwa sababu ana rap kiingereza bali ni kwa sababu anafanya vizuri international na muendelezo wa kutoa jiwe juu ya jiwe investment ya uhakika kwenye audio na video.
Mtu hata akienda kufanya show Malawi hiyo nayo pia ni internationalSio kwa sababu ana rap kiingereza bali ni kwa sababu anafanya vizuri international na muendelezo wa kutoa jiwe juu ya jiwe investment ya uhakika kwenye audio na video.
Wakum Challenge sio mmoja labda tu watu waamue kuficha silaha zao watulie.Huyo Mex Cortez ni kiumbe mwingine
Naamini mwamba ni mmoja wa kumchallenge Kaligraph ni Nikki Mbishi nasubiri tu Baba Malcom aingie booth atoke na mawe ila Roza Ree nimemkubali
Mkuu Kwa rappers Africa Mashariki kwa wakati huu tuliopo Khaligraph Jones katengeneza ufalme wake wasanii wetu wana kazi kubwa kufikia levels zake kuanzia hits alizonazo, numbers kwenye digital platform na mafanikio kutokana na kile anachofanya.Mtu hata akienda kufanya show Malawi hiyo nayo pia ni international
Hata kina Songa wanakubalika sana Kenya na wana Collabo nyingi na wasanii wa huko
Na hata huyo Khaligraph ameanza kusikika baada ya yeye kujifunza kwa Tamaduni.
Jones ni level za kina Billnass, Yani ni Lunya aliechangamka na Expossure. Usimlinganishe na Vichwa vya Hip hop ya 255.We talk about Consistency(muendelezo). mkubwa Papaa Jones anawasha moto since day one kiukweli tukiweka uzalendo pembeni kwa bongo hii nani tunaweza kumuamini akabattle na Khaligraph?
Mimi ni mshabiki mkubwa wa Fid q anafanya vizuri kwa upande wake but tukiongelea International Papaa Jones yupo ahead kuliko GOAT wetu wa Hip-hop Tanzania. Sasa nani hapo tumlinganishe na Papaa Jones je ni Young Killer, Young Lunya, Songa, Rapcha, Dizasta au nani?
Mtu anapo kuambia ukweli doesn't mean amekudharau.
Ufalme gani?Mkuu Kwa rappers Africa Mashariki kwa wakati huu tuliopo Khaligraph Jones katengeneza ufalme wake wasanii wetu wana kazi kubwa kufikia levels zake kuanzia hits alizonazo, numbers kwenye digital platform na mafanikio kutokana na kile anachofanya.
Songa anafanya vizuri lakini ukimlinganisha na Khaligraph Jones in general ni kutomtendea haki maana mwenzake ni Award winner
Ngoja tuone hii challenge itakuwa tamu sanaWakum Challenge sio mmoja labda tu watu waamue kuficha silaha zao watulie.
"Yes Bana" yake tu aliyoifanya bado haijawa kali kuliko Challenge ya yes Bana aliyofanya Mawenge.
Mawenge kupitia Yes Bana challenge kakusimulia stori ya kurasa tatu kwa dakika moja
Nambie kwenye yes Bana ya Khaligraph kuna lyrical gani mle?
For real bro! Fid Q kwenye hip hop bongo yupo too overrated aisee!fid hamna kitu hana goat wowote kwenye hip hop,naona huyo papa jones apewe johmakin yule wa nizamu yangu homy,na dont bother &AKA