BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
-
- #21
Vichwa kama vipi?? Numbers hazidanganyi mkuu anachofanya Jones ni kitu kizuri ndio maana anafanya vizuriJones ni level za kina Billnass, Yani ni Lunya aliechangamka na Expossure. Usimlinganishe na Vichwa vya Hip hop ya 255.
Wakazi ndio wa kumtegemea? Anachoweza kufanya vizuri ni uchambuzi maana kupitia huko wengi ndio wamemjua
Sasa usipompa crown 👑 yake Fid q utampa nani kwa bongo?For real bro! Fid Q kwenye hip hop bongo yupo too overrated aisee!
Kweli anafanya Vizuri in terms of Popularity lakini kwa issue ya Content na Flow uyo ni level za kina Chin beez siwez mconpare hata na Songa achilia mbali Dizasta na Fid QVichwa kama vipi?? Numbers hazidanganyi mkuu anachofanya Jones ni kitu kizuri ndio maana anafanya vizuri
Sio hit song yake tu ni miongoni mwa hit song zake ambazo zimewahi kufanya vizuriNa hii ndio hit song yake
View: https://youtu.be/fZ5dlxL4XdU?si=G_0xb2Xe_h_8OlEs
Huu uchanaji ni wa kina Lunya na wenzake
So maybe aliwalenga hao
Atleast ungezungumzia content na sio flow ukija kwenye flow ni mtu anayebadilika na mwenye maujanja(swagger).Kweli anafanya Vizuri in terms of Popularity lakini kwa issue ya Content na Flow uyo ni level za kina Chin beez siwez mconpare hata na Songa achilia mbali Dizasta na Fid Q
Kwani bongo hakuna marap wanaoweza kuchana kwa kiingereza kiwabebe wawe na popularity kama ya Khaligraph.?Ufalme gani?
Kuna utofauti wa kuwa maarufu na kufanya vizuri
Kuwa maarufu sio lazima ufanye vizuri kuna msanii kaimba "haniiiii" na ngoma ime hit watu wanaisikiliza.
Lakini tunapoiweka hiyo nyimbo kwenye mizani ya ubora basi uzito wake utakuwa sawa na nyoya.
Of course Khaligraph sio kama ana ngoma mbaya na wala sio kama ana ngoma nzuri kuzidi marapa wa nyumbani.
Nadhani ni ile flavour ya lugha ya kiingereza ndio inayokuja kumuongezea credit.
Hata saizi nikikuuliza ngoma gani aliyofanya Khali kwa lugha ya kiswahili ika hit utanijibu nini?
Lugha ya kiingereza ndio inayompaisha asikilizwe na kualikwa kwenye shows nje ya mipaka ya Kenya. Lakini when it comes to content and lyrical. Khali hawezi kusimama na msanii yeyote wa Tamaduni.
Nadhani shida ya Rappers wazuri wa TZ ni uwekezaji tu na kutokua committed basi. Bado wana ile wakiwezeshwa wanaweza they cant stand alone.Atleast ungezungumzia content na sio flow ukija kwenye flow ni mtu anayebadilika na mwenye maujanja(swagger).
Unapokubalika na wengi tafsiri ya kawaida ni kuwa unafanya vizuri sasa kwa nini wakina Songa na Dizasta licha ya kuwa bora kwa kile wanachokifanya still numbers zao haziridhishi hawatengenezi Fanbase mpya?
Ukiambiwa diamond ni mswahili uwe unaelewa
Uswahili wake upi?Ukiambiwa diamond ni mswahili uwe unaelewa
Kuhusu lughaKwani bongo hakuna marap wanaoweza kuchana kwa kiingereza kiwabebe wawe na popularity kama ya Khaligraph.?
Na sio wote wanaomsikiliza Khaligraph wanajua na kuelewa lugha ya kiingereza maana anachana kwa kiswahili pia kinachovutia kwake ni mpangilio wa flow na sound.
Wengi mnajificha kwenye kivuli cha contents kana kwamba rappers wa bongo wanafanya gospel wakati content za muziki wa rap obviously zinajulikana ni kujisifia
Flow ndio nini?Kwani bongo hakuna marap wanaoweza kuchana kwa kiingereza kiwabebe wawe na popularity kama ya Khaligraph.?
Na sio wote wanaomsikiliza Khaligraph wanajua na kuelewa lugha ya kiingereza maana anachana kwa kiswahili pia kinachovutia kwake ni mpangilio wa flow na sound.
Wengi mnajificha kwenye kivuli cha contents kana kwamba rappers wa bongo wanafanya gospel wakati content za muziki wa rap obviously zinajulikana ni kujisifia
Shida wa Tanzania wengi wanaleta ushabiki kwenye vitu vya msingi kiuhalisia jones anatubeba east Africa when it comes to hip hop, jones ndo anaweza kwenda sambamba na akina Mnyama sarkodie, tukiweka ushabiki pembeni wasanii wa hip hop bongo wana la kujifunza kwa papas jonesKwani bongo hakuna marap wanaoweza kuchana kwa kiingereza kiwabebe wawe na popularity kama ya Khaligraph.?
Na sio wote wanaomsikiliza Khaligraph wanajua na kuelewa lugha ya kiingereza maana anachana kwa kiswahili pia kinachovutia kwake ni mpangilio wa flow na sound.
Wengi mnajificha kwenye kivuli cha contents kana kwamba rappers wa bongo wanafanya gospel wakati content za muziki wa rap obviously zinajulikana ni kujisifia
Ukisoma comment unagundua tatizo lilipo, ujuaji mwingi sisi wa Tz hatupendi kukubali pale tunapozidiwa lazima tutoe execuses, na hatutaki kujifunza, kihulasia kwa sasahivi jones amesogeaBongo hiphop tuna Wasanii wengi wakali, labda kuliko hata Khaligraph, ila wako wapi now? hawaendi popote. Yanabaki majina yao tu.
Ni kama bongoflava pia, wasanii wengi tunawasifu sana ila nje ya hapa Bongo hawaendi popote.
Nchi nzima msanii nayevuka boda ni Diamond peke yake, kidogo na vijana wake. Bado tuko nyuma sana.