Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.

Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.

Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.

Jipangeni ndugu zangu
 
Al Ahly kwenye ubora kafungwa na mnyama umtishie hicho kituko mkuu!!
Nafikiria hofu iwe kwa timu yako maana kwa group ulilopo unaweza kuburuza mkia na sehemu ya watu kuokotea point
Vipi wewe ubora wako kwasasa unauonaje? Kikosi chako na kocha wako umeshawafanyia tathmini? Na je aina ya uchezaji wa timu yako vikoje ebu tupe tathmini kabla ujasemea historia iliyopita!
 
Ndiyo shida yenu hamtakagi kuambiwa ukweli

Sasa yanga wao wako vizuri sana unadhani yanga angecheza na wachovu mliocheza nao si hao waangola wangetandikwa hata 6?

Al hilal waliweka kikosi Chao cha ukweli ile x1 yenyewe

Halafu sasa sisi tulishapangwa mpaka kundi moja na ahly ahly na bado tukatoboa kumbuka mechi ya kwanza na CRB walitufunga tena 3 kwao kule .

Simba msimu huu ya kinyonge sana msije aema sikuwaambia
 
Kufungwa kubaya UTO unaweweseka😂😂😂
 
I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.

Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.

Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.

Jipangeni ndugu zangu
Huo ushauri wa kijinga ungewapa gongowazi wazi wenzako.Kufungwa 2 mtungi na Al Hilal baada ya kelele nyingi na ngebe za kulipa kisasi.Umehasiwa nyumbani unatoa ushauri?
 
Ndiyo shida yenu hamtakagi kuambiwa ukweli
Sasa yanga wao wako vizuri sana unadhani yanga angecheza na wachovu mliocheza nao si hao waangola wangetandikwa hata 6?

Al hilal waliweka kikosi Chao cha ukweli ile x1 yenyewe
Halafu sasa sisi tulishapangwa mpaka kundi moja na ahly ahly na bado tukatoboa kumbuka mechi ya kwanza na CRB walitufunga tena 3 kwao kule .

Simba msimu huu ya kinyonge sana msije aema sikuwaambia
Mpira hauko hivyo mbona simba kamkanda Tabora afu wewe umekandwa na tabora?
 
Ukipita jangwani hata ukitabasamu tu unaweza kuuwawa.Gongowazi wana hasira kali.
Cha kwanza mtoto kasema anaumia,cha pili jamani kadai fanya taratibu mara cha tatu dah anadai anasikia raha.
 
Mpira hauko hivyo mbona simba kamanda tobora afu wewe umekandwa na tabora?
Argument ya kizembe hiyo
Huku kimataifa uwezo ndiyo unaongea na sio huu ujinga wa huku ligi kuu sasa Tabora akienda CAf atamfunga nani?
 
Back
Top Bottom