Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Vipi wewe ubora wako kwasasa unauonaje? Kikosi chako na kocha wako umeshawafanyia tathmini? Na je aina ya uchezaji wa timu yako vikoje ebu tupe tathmini kabla ujasemea historia iliyopita!Al Ahly kwenye ubora kafungwa na mnyama umtishie hicho kituko mkuu!!
Nafikiria hofu iwe kwa timu yako maana kwa group ulilopo unaweza kuburuza mkia na sehemu ya watu kuokotea point
Ndiyo shida yenu hamtakagi kuambiwa ukweliAl Ahly kwenye ubora kafungwa na mnyama umtishie hicho kituko mkuu!!
Nafikiria hofu iwe kwa timu yako maana kwa group ulilopo unaweza kuburuza mkia na sehemu ya watu kuokotea point
Kufungwa kubaya UTO unaweweseka😂😂😂Vipi wewe ubora wako kwasasa unauonaje? Kikosi chako na kocha wako umeshawafanyia tathmini? Na je aina ya uchezaji wa timu yako vikoje ebu tupe tathmini kabla ujasemea historia iliyopita!
Huo ushauri wa kijinga ungewapa gongowazi wazi wenzako.Kufungwa 2 mtungi na Al Hilal baada ya kelele nyingi na ngebe za kulipa kisasi.Umehasiwa nyumbani unatoa ushauri?I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.
Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.
Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.
Jipangeni ndugu zangu
kuwa naye makini maana walianza kuchapana wachezaji, ikafuata mabaunsa kupiga mashabiki wao, angalia usije pigwa na utopolo maana hawako sawa wakati huu.Kumekucha tangu ulale Jana ndio unaamka saiv. Utopolo wewe
Mpira hauko hivyo mbona simba kamkanda Tabora afu wewe umekandwa na tabora?Ndiyo shida yenu hamtakagi kuambiwa ukweli
Sasa yanga wao wako vizuri sana unadhani yanga angecheza na wachovu mliocheza nao si hao waangola wangetandikwa hata 6?
Al hilal waliweka kikosi Chao cha ukweli ile x1 yenyewe
Halafu sasa sisi tulishapangwa mpaka kundi moja na ahly ahly na bado tukatoboa kumbuka mechi ya kwanza na CRB walitufunga tena 3 kwao kule .
Simba msimu huu ya kinyonge sana msije aema sikuwaambia
Argument ya kizembe hiyoMpira hauko hivyo mbona simba kamanda tobora afu wewe umekandwa na tabora?