Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa
Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira
Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za kuvuka,
Kwa mwendo huu wana nafasi kubwa tu ya kupenya hata nusu fainali,
Kazi ipo kwao kumbakisha mchezaji wao, Pacome