Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Tumekusamehe nenda kwa Amani !Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa
Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira
Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za kuvuka,
Kwa mwendo huu wana nafasi kubwa tu ya kupenya hata nusu fainali,
Kazi ipo kwao kumbakisha mchezaji wao, Pacome
Kapake bleach kwanza ndo usameheweYanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa
Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira
Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za kuvuka,
Kwa mwendo huu wana nafasi kubwa tu ya kupenya hata nusu fainali,
Kazi ipo kwao kumbakisha mchezaji wao, Pacome
Duh mkuu mayele anahusikaje hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Tumekusamehe na tunakwambia kama ridhki ya Pacome ikija basi ataenda, Mayele aliondoka na bado Yanga ipo na leo kala chuma 3 na team yake ya Pyramids na katolewa nje ya mashindano akiwa hana goal hata moja.
Huo ndio ushabiki. Sio ule ushabiki maandazi wa wengine, na hapa ninamaananisha kutoka pande zote.Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa
Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira
Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za kuvuka,
Kwa mwendo huu wana nafasi kubwa tu ya kupenya hata nusu fainali,
Kazi ipo kwao kumbakisha mchezaji wao, Pacome
TumekusameheYanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa