SoC03 Kwa mpima viwanja atakayeweza kupata eneo ambalo halina 'taasisi zinazopiga kelele' atapiga pesa!

SoC03 Kwa mpima viwanja atakayeweza kupata eneo ambalo halina 'taasisi zinazopiga kelele' atapiga pesa!

Stories of Change - 2023 Competition

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi kuinunua ile nyumba.

Changamoto kubwa iliyopo kwenye majiji makubwa yanayokua kwa kasi ni ugumu wa kupata sehemu tulivu ya kuishi, isiyo karibu na 'taasisi zinazopiga kelele'.

Kwa hiyo nikawaza kama watapatikana hawa wanaonunua mashamba ili kupima viwanja wakaweza kuepusha wateja wao kuwa karibu na 'taasisi zinazopiga kelele', watapiga sana pesa!
 
Upvote 1
Back
Top Bottom