Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Imekuuma?Nani anayeumwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuuma?Nani anayeumwa?
Nini?Imekuuma?
Si kwa mujibu wa CAF lakiniKubali yaishe Yanga ni Taifa kubwa!
Mleta mada kuhamia YangaNini?
Unachezea shillingi chooni, ADT siyo timu sahihi ya kuipima Uto. Subiri hadi wacheze na Al merreik ndiyo utapata picha halisi.
Daima mbele, nyuma mwiko!Huyo sio wewe ni nyuma mwiko
Mleta mada alikuwa mshabiki wa WAGNER, mmiliki kafariki.Mleta mada kuhamia Yanga
Kahamia Yanga sasa
Hajakosea, kwa sasa yanga wanaonekana kuwa na project boraKahamia Yanga sasa
Yanga ndio Bingwa Africa Mashariki na Kati mjiandae kisaikolojia MakoloHajakosea, kwa sasa yanga wanaonekana kuwa na project bora
Tabia za kimalayaHuu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia yanga
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu
Wana yanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia
Bahati nzuri au mbaya si mpenzi wa kutupwa wa soka la Tanzania.Yanga ndio Bingwa Africa Mashariki na Kati mjiandae kisaikolojia Makolo
Yanga ndio Bingwa Africa Mashariki na Kati mjiandae kisaikolojia Makolo
Wewe Kei M Kei M au?Bahati nzuri au mbaya si mpenzi wa kutupwa wa soka la Tanzania.
Mimi si kolo wala chura
Tumekupokea mwanachama mupya na hii imeendaNipokeeni wanayanga
YANGA HII HII ILIYOFUNGWA NA SIMBA?Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.
Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
mwakaja lna mlishinda 7Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.
Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Mwamba huyu hapa Al Merrikh! usitukimbie aiseeHuu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.
Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.