Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hadi siku Yanga itabeba World cup we bado utabisha tu!Wamecheza na timu gani hao Yanga?Nianze kwa swali hilo.🤔
Jiliwaze.Muda wa kujinunisha umefika.🤔Duh! Hadi siku Yanga itabeba World cup we bado utabisha tu!
Hivi si sote tunaona PIRA GAMONDI Kwa macho yetu? Kila mchezaji anafunga hatuhitaji Mayele tena!
Msimu wa tatu huu tunabeba NBC premier league na club bingwa Africa we kaa tu na akili zako za Ki mbumbumbu fc!
Kwa Yanga GAMONDI kila goti litapigwa!
Karibu sana mkuuHuu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.
Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Sawa Mkuu. 😅😅Shadeeya na Bantu Lady mfanyieni vetting huyu jamaa kabla hatujampokea asije kutuletea kizunguzungu baadae
Kwa simba hii ya chiba kubadilika, bado sana. Wachezaji wanajipigia pigia mpira tu bila lengo.Yanga wananiumiza roho sana.
Natamani sana kiwango walicho nacho kiwe Simba.
Naomba Timu yangu ya Simba wabadilike watupe raha kama wana yanga wanazo Pewa na time yao
Huo uchezaji na uimara wenu, uliwapa ngao ya jamii?Karibu sana Mkuu
Kwakweli kama ni Uchezaji mzuri na Timu Imara basi ni YANGA