Kwa mpira huu nahamia Yanga

Kwa mpira huu nahamia Yanga

Wamecheza na timu gani hao Yanga?Nianze kwa swali hilo.🤔
Duh! Hadi siku Yanga itabeba World cup we bado utabisha tu!

Hivi si sote tunaona PIRA GAMONDI Kwa macho yetu? Kila mchezaji anafunga hatuhitaji Mayele tena!

Msimu wa tatu huu tunabeba NBC premier league na club bingwa Africa we kaa tu na akili zako za Ki mbumbumbu fc!

Kwa Yanga GAMONDI kila goti litapigwa!
 
Duh! Hadi siku Yanga itabeba World cup we bado utabisha tu!

Hivi si sote tunaona PIRA GAMONDI Kwa macho yetu? Kila mchezaji anafunga hatuhitaji Mayele tena!

Msimu wa tatu huu tunabeba NBC premier league na club bingwa Africa we kaa tu na akili zako za Ki mbumbumbu fc!

Kwa Yanga GAMONDI kila goti litapigwa!
Jiliwaze.Muda wa kujinunisha umefika.🤔
 
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.

Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza mpira papatu papatu.

Wanayanga mnipokee nilikuwa nimepotea njia.
Karibu sana mkuu
 
Team mechi zote inacheza ugenini nayo ni ya kujisifia umepiga bomu mochwari
 
Karibu sana. ... Ufike ofisini jangwani kwa zoezi la kipachikwa"mwiko nyuma" ili ufanane na wenzio ili muende mbele daima,mwiko ukiwa nyuma .
 
Yanga wananiumiza roho sana.
Natamani sana kiwango walicho nacho kiwe Simba.
Naomba Timu yangu ya Simba wabadilike watupe raha kama wana yanga wanazo Pewa na time yao
Kwa simba hii ya chiba kubadilika, bado sana. Wachezaji wanajipigia pigia mpira tu bila lengo.
Kipa anapeleka mpira kwa C. Forward au mawinga nao wanaurudisha kwa defender. Defender anautoa nje. Dakika 90, Mchezo ni huo huo-boli halitembei.

Bila kubadilika, simba ya msimu huu kwenye caf cl na super ligi itaaibisha.
 
Back
Top Bottom