Hawafiki mkuu!Mkuu mtoa mada soma hii na tunza, Belgium 🇧🇪 world cup hii imeshindwa sana itaushia semi finaL.
Mpira unadunda hivyo lolote laweza kutokea. Walipomtoa hazard angalau mpira ulibadilika kidogo.Mkuu mtoa mada soma hii na tunza, Belgium 🇧🇪 world cup hii imeshindwa sana itaushia semi final
Hivi England huwa mnaionaga ni timu ya kutiiisha??Hawafiki mkuu!
Naziona Brazil, Argentina,England& Portugal/france semi-final
Hao nao ni kichwa cha mwendawazimu tuHivi England huwa mnaionaga ni timu ya kutiiisha??
Yani hii timu wala huwa siiwazii, sijui ni nini ambacho huwa kinawafanya watu kuipa imani kiasi hiko? Sijawahi kuona maajabu yao zaidi ya hypes nyiiiiingiii.England miaka yote wanakuwa na wachezaji wazuri ila timu mbovu.
We can bet on this,Belgium 🇧🇪 wataenda hadi semi final, all African team zitaondolewa hatua ya mwanzo, watch out France, England 🏴, Brazil kuchukua world cup 2022Mpira unadunda hivyo lolote laweza kutokea. Walipomtoa hazard angalau mpira ulibadilika kidogo.
Ila hawana aggressiveness kule mbele na beki zao zimetoboka. Bado siwaoni wakivuka 16 bora.
Tu bet mkuu,tunza uzi huu,Belgium 🇧🇪 ni team hatari mwaka huu kwenye world cupHawafiki mkuu!
Naziona Brazil, Argentina,England& Portugal/france semi-final
England ni timu yenye wachezaji wazuri sana na ilitakiwa iwe tishio. Tatizo ni kocha wao. Huyu jamaa tangu aingie kwenye nafsi ya ukocha wa timu ya England sijui hasa timu inacheza formation gani. Hata kombe la dunia lililopita walibahatisha tu. Kocha mbovu.Hivi England huwa mnaionaga ni timu ya kutiiisha??
Aina ya makosa wanayofanya hayaoneshi kama sababu ni kuogopa kuumia. Ila ni sahihi, ngoja tusubirie world cup ikianza.Usisahau hiyo mechi ni kwa ajili tu ya kutest mitambo. Wachezaji wengi watakuwa wanacheza kwa tahadhari kubwa, ili wasije wakapata majeraha dakika za lala salama, na hivyo kukosa kushiriki mashindano ambayo ni ndoto kwa wachezaji wengi.
Waingereza huwa wana kelele sana kwenye media ndio maana baadhi ya watu wanadhani nayo ni timu nzuri.Yani hii timu wala huwa siiwazii, sijui ni nini ambacho huwa kinawafanya watu kuipa imani kiasi hiko? Sijawahi kuona maajabu yao zaidi ya hypes nyiiiiingiii.
Yan unawahukumu kwenye mechi ya kirafikiNaangalia mechi kati ya misri na ubelgiji hapa na ninaona hawa wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye kombe la dunia.
Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man.
Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass.
Wameshapigwa 2 bila.
Hata misri hawakuwa wanacheza mpira wa nguvu. Hapa naongelea tu ule ufundi unaoonekana pamoja na makosa yanayofanyika. Forward haina aggressiveness na beki zinakatika na kutoa maboko.Yan unawahukumu kwenye mechi ya kirafiki
Unataka watumie nguvu kupata ushindi wakat wana mechi muhimu j5
wanavijana wapya wenye uchungu.Hivi England huwa mnaionaga ni timu ya kutiiisha?
Hakuna timu ya africa inafika robo😂Mimi nawapa Argentina nafasi ya kwanza kubeba kombe halafu pia kuna Brazil na Portugal. Hawa wengine kama ufaransa wataishia makundi au 16 bora.
England na Spain wanaweza kufika robo au nusu fainali. Hata Senegal nategemea wafike robo hata mpaka nusu fainali.