Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kumtegemea Michy Batshuayi?😂Belgium my favourite team. Hawa vijana nawaamini sana. Mark this comment bro wataanza kugawa dozi kwenye world cup utashangaa
Jana wakati naandika hii post hazard na batshuayi walikuwepo uwanjani na walionesha ubovu mwingi. Timu ilichangamka baada na kuingia Doku, Openda na Tielemans. Anyway ngoja tusubirie.Belgium my favourite team. Hawa vijana nawaamini sana. Mark this comment bro wataanza kugawa dozi kwenye world cup utashangaa
Sio wachezaji wazuri bali wenye majina lakn hamna kituEngland miaka yote wanakuwa na wachezaji wazuri ila timu mbovu.
Kikosi kucheza vizuri si lazm kiwe na wachezaji wenye majinaKiukweli Ubelgiji watu wanaikubali kwa matokeo mazuri,sio kikosi kizuri.
Ukimuambia mtu akupangie kikosi hapa tutakimbiana. Mpaka akagugo. Wachezaji wazee na kutoka ligi mbovu. Wanashindaga kimungu Mungu mechi nyingi.
Ukiacha Hazard na Debruine kuna nani mwingine? Au utasema Kotwaa?
Nilitaka kumjibu hivyo mleta Uzi. AsanteUsisahau hiyo mechi ni kwa ajili tu ya kutest mitambo. Wachezaji wengi watakuwa wanacheza kwa tahadhari kubwa, ili wasije wakapata majeraha dakika za lala salama, na hivyo kukosa kushiriki mashindano ambayo ni ndoto kwa wachezaji wengi.
Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye kombe la dunia.
Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man.
Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass.
Wameshapigwa 2 bila.
Kastanya, tilemons, lukaku, karesko, vitsel, mertensKiukweli Ubelgiji watu wanaikubali kwa matokeo mazuri,sio kikosi kizuri.
Ukimuambia mtu akupangie kikosi hapa tutakimbiana. Mpaka akagugo. Wachezaji wazee na kutoka ligi mbovu. Wanashindaga kimungu Mungu mechi nyingi.
Ukiacha Hazard na Debruine kuna nani mwingine? Au utasema Kotwaa?
Kula beki wa kulia wa egypt alipelekewa mashambilizi upande wake tuu mpaka mwishoe goli lilipatikana yokea huo upande.
Umechana mkekaTu bet mkuu,tunza uzi huu,Belgium [emoji1045] ni team hatari mwaka huu kwenye world cup