........what did you say.....?We can bet on this,Belgium [emoji1045] wataenda hadi semi final, all African team zitaondolewa hatua ya mwanzo, watch out France, England [emoji1022], Brazil kuchukua world cup 2022
Hawezi kurudi ni aibuOya hebu rudi hapa
Semi ya mkaa au mahindi?Mkuu mtoa mada soma hii na tunza, Belgium [emoji1045] world cup hii imeshindwa sana itaushia semi final
Haya sasa, unasemaje?Belgium my favourite team. Hawa vijana nawaamini sana. Mark this comment bro wataanza kugawa dozi kwenye world cup utashangaa
Pitia post yako tena mkuuMkuu mtoa mada soma hii na tunza, Belgium 🇧🇪 world cup hii imeshindwa sana itaushia semi final
Kastanya, tilemons, lukaku, karesko, vitsel, mertens
Dah kweli maana kama japan leo kaangusha kabati mara ya pili.World cup mwaka huu majina bakini nayo wenyewe watu wanamiliki nafasi tu ,mpira cheza wewe
Hands down mkuu,ulikua upo right na unanidai cup of coffee ☕, let's arrangePitia post yako tena mkuu
Salute salute mkuu, utabiri wangu ulikua ni zero, nakubaliana but u don't need to continue hitting a dead snake 🐍!,Semi ya mkaa au mahindi?
Nimerudi mkuu na salute kwako, kweli Belgium ilikua timu mbovu, welldone kwako na wote, apologize and I owe you a bottle of meerust rubicon a red oneOya hebu rudi hapa
Sema kimeumanaaaMkuu mtoa mada soma hii na tunza, Belgium 🇧🇪 world cup hii imeshindwa sana itaushia semi final