Kwa mpira wa jana (Taifa Stars VS Tunisia); Kuna haja ya mabadiliko makubwa katika soka letu

Kwa mpira wa jana (Taifa Stars VS Tunisia); Kuna haja ya mabadiliko makubwa katika soka letu

Tanzania tumewekeza mpira mdomoni sio kwenye vitendo. Jana wale jamaa walikuwa wa kawaida ila tatizo kubwa lilikuwa kwenye viungo wachezeshaji na mbinu za mwalimu.

Mfano ukiachana na beki wa kati Erasto Nyoni viungo wengine walikuwa wanapiga mipira isiyosonga mbele au wanawaza kupiga vyenga badala ya kutoa pass mapema kwa mwenzake.

Suala la ukosefu wa stamina ni ngumu kwa wachezaji wetu kulitatua maana watanzania tumedumaa na hatuna lishe tangu utoto wetu ktk hilo tutawalaumu bure wachezaji wetu.

Tuache ushabiki wa Usimba na Uyanga wa kusifia vibovu wanavyomiliki huku wakilazimisha vionekane vizuri badala yake tuwekeze kwenye timu za vijana huko mbeleni tutafanikiwa ila kwa sasa tutalaumiana na majibu hayatapatikana.

N.B Kocha wa Simba ana kitu cha kuwaambia washabiki Nyoni alimkosea nini?
Anaharibu mpira ni mbwiga Manara.
 
TFF wako busy na simba/yanga huku timu yao ikizidi tu kuporomoka.

wangeandaa mpango kazi wa miaka mitatu hata miwili wa kukuza vijana talented ambao wangekaa kambini muda wote wa mwaka na wangekua wanasoma soka darasani na mazoez ya uwanjani huku wakisimamiwa na football specialists mbalimbal.

hao vijana wangeweza na kufika mbali..tuachane na hawa vpl players, wameshapitwa na wakati na hawawezi kutupa jambo zuri.

Hatutakaa tuendelee kimpira mpaka pale tutakapopata TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Wewe timu za simba n'a tanga Zina zaidi ya wachezaji WA kigeni 10 kila mmoja unategemea soka Lako likuwe
 
Back
Top Bottom