Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
❤️❤️❤️ Yanga ni vibwengo maji hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pita biriani lako siku ya ngao ya jamii ukaishia kuondoka na ngao ya kimasai, iliyotengenezwa kwa ngozi na fito za miti.Sifa za kijinga!Hilo ni pira ambalo wachezaji muda wote wanakimbia kimbia tu uwanjani kama nyumbu vile waliojeruhiwa na majangili!
Yaani timu inaweza ikashinda, lakini hata magoli hayaeleweki yameingiaje!! Hilo pira linachezwa kwa sasa na timu fulani hivi.
Algeria mchezo wake wa jana ni wa kukamilisha ratiba tu, tushukuru tumepata suluhu na kufuzu lakini bado kocha aweke mbinu mbadala katika ushambuliaji na umiliki wa mpira hasa wachezaji wa kati.Tatizo ni beki wa yanga.
Simba haijawahi kuwa na takwimu kama za jana ila cha kushangaza hakuna mtu amesema Tanzania tumecheza mpira mbovu. Halafu kingine nilichogundua kina Mwamnyeto na Bacca hawakuwa wanapigiana hata pasi mbili kabla ya kuosha mpira, nimeukumbuka uzi wangu mwingine niliouleta majuzi ambao nilipouleta kuna watu wakaubeza.Kwa hiyo tuhalalishe kwamba mashabiki wa Simba mnapenda pira PAPATUPAPATU?
Kesho msilalamike mkiitwa hivyo!