Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

Hilo ni pira ambalo wachezaji muda wote wanakimbia kimbia tu uwanjani kama nyumbu vile waliojeruhiwa na majangili!
Yaani timu inaweza ikashinda, lakini hata magoli hayaeleweki yameingiaje!! Hilo pira linachezwa kwa sasa na timu fulani hivi.
Na pita biriani lako siku ya ngao ya jamii ukaishia kuondoka na ngao ya kimasai, iliyotengenezwa kwa ngozi na fito za miti.Sifa za kijinga!
 
Kwa hiyo tuhalalishe kwamba mashabiki wa Simba mnapenda pira PAPATUPAPATU?
Kesho msilalamike mkiitwa hivyo!
Simba haijawahi kuwa na takwimu kama za jana ila cha kushangaza hakuna mtu amesema Tanzania tumecheza mpira mbovu. Halafu kingine nilichogundua kina Mwamnyeto na Bacca hawakuwa wanapigiana hata pasi mbili kabla ya kuosha mpira, nimeukumbuka uzi wangu mwingine niliouleta majuzi ambao nilipouleta kuna watu wakaubeza.

Jinsi ya kuifunga Yanga ya Gamondi
 
Acha kuhararisha ujinga kwa kigezo Cha Taifa state kufuzu, Taifa Stars alikuwa hana namna na Wala kufuzu sio juhudi bali ni hisani ya Algeria .... Ukicheza vibaya utaambiwa. Taifa Stars hana uwezo wa kucheza Afcon hiyo hisan ya Algeria mkianza kula mkono huko ivory coast ndio mtajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…