Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huo mshahara wako huutumii kwa kula mavazi usafiri,refreshment, matibabu na sadakah. Niwakujenga tu. au?Habar za majukumu wakuu , naomba mwenye ujuz na uzoefu juu ya maswala ya ujenzi , nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho, na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwez. asante na karibun
Habar za majukumu wakuu , naomba mwenye ujuz na uzoefu juu ya maswala ya ujenzi , nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho, na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwez. asante na karibun
Ondoa sadakah hapoKwahiyo huo mshahara wako huutumii kwa kula mavazi usafiri,refreshment, matibabu na sadakah. Niwakujenga tu. au?
Usiamini vipato vya wanawake hususani ma secretary, wengi wana biashara ya siri na ma bosi...ukijilinganisha nao utaaga town jombaNinamfahamu secretary mmoja serikalini analipwa 390,000/ sijui ni kabla au baada ya makato amejenga nyumba japo ametumia km miaka minne mitano hivi. Kamaliza, na alinambia hajajengewa na mtu.
So ni wewe tu namna ya kujipanga!
Usiamini vipato vya wanawake hususani ma secretary, wengi wana biashara ya siri na ma bosi...ukijilinganisha nao utaanga town jomba
Hana mke? Ameajiliwa serikalini au private....alafu nikupe siri yakeNi mwanaume!!
Mkuu hata mshahara wa laki nne unaweza kujenga, mm nina nyumba 2 na viwanja 2 havijajengwa na nina mshahara kama wako, natembelea gari piaHabar za majukumu wakuu , naomba mwenye ujuz na uzoefu juu ya maswala ya ujenzi , nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho, na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwez. asante na karibun