Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi namshauri afanye saving kabla ya matumiziMKUU WAPE SAVING YAKO BAADA YA MATUMIZ?MAHITAJIO YAKO YA MWEZI NDIO TUTAJUA ACCUMULATION YAKO KWA MWEZI
SAHIHI LAKINI KUNA MATUMIZI YASIYOEPUKIKA MF CHAKULA BAJET YAKE NI MUHIM NA SIO AFANYE SAVING HALAF ANAENDA KUKOPA KWA MANGIMi namshauri afanye saving kabla ya matumizi
Moja ni ya 40 mil na ingine ya 20 mil
Mmh!Mkuu hata mshahara wa laki nne unaweza kujenga, mm nina nyumba 2 na viwanja 2 havijajengwa na nina mshahara kama wako, natembelea gari pia
Serikali na hana mke!!Hana mke? Ameajiliwa serikalini au private....alafu nikupe siri yake
Sawa kama hana mke anaweza kujenga..... ila anajenga shelter house sio residential home.Serikali na hana mke!!
Waweza kabisa kujenga nyumba, cha msingi chunga matumizi yako.Habar za majukumu wakuu , naomba mwenye ujuz na uzoefu juu ya maswala ya ujenzi , nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho, na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwez. asante na karibun
Hongera kwa wazo la kujenga, kwa tulio wengi, fedha ya kujenga either hutokana na faida itokanayo katika biashara ama mkopo, mshahara ama kazi yako husimama kama "security" ktk kukuwezesha kuwa na reliable cash flow endapo utakuwa umekopa. Aitha, wengine huanza ujenzi kwa kutumia mshahara kwa kiwango fulani then hulazimika kutafuta namna nyingine ya kuendelea na ujenzi, mathalani, hatua ya lenta na kuendelea huhitaji fesha nyingi kwa mkupuo nakadhalika! Laki 7 ni bando 1 tu ya bati kwa bati za Alaf geji 30 kwani huuzwa 450k, nyumba ya aina yako ni lazima ianzie walau bando 5 kwa makadirio.Habar za majukumu wakuu , naomba mwenye ujuz na uzoefu juu ya maswala ya ujenzi , nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho, na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwez. asante na karibun
Hata mshahara ungekuwa laki moja,kujenga inawezekana,weka utaratibu wa kutenga kiasi kidogo kwenye kipato chako,nunua vitu kidogo kidogo,nyumba inajengeka mekuuu!!Habar za majukumu wakuu , naomba mwenye ujuz na uzoefu juu ya maswala ya ujenzi , nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho, na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwez. asante na karibun