Kwa msharaha huu natabiri Madudu Simba

Kwa msharaha huu natabiri Madudu Simba

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Kwa mshahara huu kwa pesa za kibongo ni pesa ndefu sana! Lakini professional kutoka nje ya nchi hawezi lipwa pesa hii.

Huyu ni homeless uko alipo or jobless au anakuja tu kama tourists na anapesa zake za kutosha! Nimenukuu gazeti

"Kocha Kerr ataigharimu Simba kiasi cha dola 9,000 ( Sh20 milioni) kila mwezi, kwani katika fedha hizo kocha huyo atakuwa akipokea kiasi cha dola 6,000 (Sh 13.2milioni ) kwa mwezi huku kiasi kinachobaki kitatumika kumlipia gharama mbalimbali za nyumba na usafiri."
 
Kwani yule wa mwanzo alitaka kulipwa kiasi gani akatemeshwa?
 
Goran Kopunovic alikua akilipwa dola 5000 tu na kazi yake mliiona.. sasa huyu Mtalamu Kerr analipwa dola 6000 + maincentives kibao.. msimu ujao lazima mtaisoma namba.
 
Sasa ww ulitaka simba wafanyaje cos hakuna kocha wa bei rahis hvyo kama unavyofikilia labda awe mzawa,huyu goran alikuwa anataka dola elf 8 kama mshahara na signing fee dola elf 50,mbona noorj alikuwa analiowa mil 27 na hakuna alichokifanya?hebu chunguza kwanza mishahara ya wakocha wagen wa tanzania kwenye hz timu kubwa alafu uje na mada yako tena
 
Kwa mshahara huu kwa pesa za kibongo ni pesa ndefu sana! Lakini professional kutoka nje ya nchi hawezi lipwa pesa hii.

Huyu ni homeless uko alipo or jobless au anakuja tu kama tourists na anapesa zake za kutosha! Nimenukuu gazeti


eti cv yake kubwa ni kusoma na Morinyo.
 
Back
Top Bottom