Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kwa mshahara huu kwa pesa za kibongo ni pesa ndefu sana! Lakini professional kutoka nje ya nchi hawezi lipwa pesa hii.
Huyu ni homeless uko alipo or jobless au anakuja tu kama tourists na anapesa zake za kutosha! Nimenukuu gazeti
Huyu ni homeless uko alipo or jobless au anakuja tu kama tourists na anapesa zake za kutosha! Nimenukuu gazeti
"Kocha Kerr ataigharimu Simba kiasi cha dola 9,000 ( Sh20 milioni) kila mwezi, kwani katika fedha hizo kocha huyo atakuwa akipokea kiasi cha dola 6,000 (Sh 13.2milioni ) kwa mwezi huku kiasi kinachobaki kitatumika kumlipia gharama mbalimbali za nyumba na usafiri."