Yanga ameshafuzu anaenda tu kukamilisha ratiba1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)
Mechi za kumalizia
Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria
Medeama ni kibonde wa kundi, Yanga na Al Ahly wakiwa nyumbani kila moja kajipigia tatu
Ikiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?We wa wapi Yanga mbona ameshafuzu
Ikiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?Yanga ameshafuzu anaenda tu kukamilisha ratiba
Ikiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?YANGA kashaenda robo fainali hata kama belouzdad ashinde goli 10 kwa madema. Head to head ya belouzdad na Yanga ndio inaangaliwa nani kamfunga mwenzake goli nyingi.
Na majini yatakua yamekufaIkiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?
H2H matokeo ya mwisho hata yaweje hayana athari yoyoteIkiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?
Hii michuano wanaangalia h2h mkiwa sawaIkiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?
Acha umbumbumbu basiIkiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?
Yanga ikipigwa tatu na Medeame ipigwe nne, Belouzdad atamzidi Yanga goli mojaHii michuano wanaangalia h2h mkiwa sawa
Yanga ikipigwa tatu na Medeame ipigwe nne, Belouzdad atamzidi Yanga goli mojaH2H matokeo ya mwisho hata yaweje hayana athari yoyote
Hawaangalii gd wanaangalia mlipokutana nani alikula goli nyingi,,,kwahio Yanga ameshapitaYanga ikipigwa tatu na Medeame ipigwe nne, Belouzdad atamzidi Yanga goli moja
Aibu sana yaani umeumbuka vibaya sana mpaka unatafuta pa kutokea. Si ulikuja na uzi kuwa Yanga kaaga rasmi mashindano. Maumivu ni makali sana uliyonayo kwa sasa. Yanga hata akufungwa magoli 100 kafuzu tayari.1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)
Mechi za kumalizia
Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria
Medeama ni kibonde wa kundi, Yanga na Al Ahly wakiwa nyumbani kila moja kajipigia tatu
Unajiita Bright ila mgumu kuelewa. Jamaa wanakwabia wanaagalia H2H kati ya yanga na belozidad. So Hata yanga apigwe goli 100 ameshafuzuYanga ikipigwa tatu na Medeame ipigwe nne, Belouzdad atamzidi Yanga goli moja
Yanga ameshapita, hata akifungwa nyingi Kule misri.Yanga ikipigwa tatu na Medeame ipigwe nne, Belouzdad atamzidi Yanga goli moja