ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
ulianza kumponda Mayele hata haja anza kucheza, same to Azizi K too much negativityTatizo umejiaminisha kila mtu anayekosoa kwa ku point negative things aonekane hater
Na ndio maana siku ile baada ya mechi nilikuonesha jinsi Nabi akifunguka mbele ya Camera akilaumu performance ya Azizi Ki
Nilikukumbusha kumuita Nabi hater lkwa kumsema negative Azizi Ki lakini haukufanya hivyo
Nnavyo fahamu mimi hakuna mkopo wa msimu miwiliMkataba wa mkopo kama hunaisha means huyo mchezaji bado ni asset ya hiyo timu ambayo anachezea muda huo
Sheria za Fifa kuhusu loan zinaruhusu Mkopo kuvunjwa. Maamuzi haya yanegemea kufanywa na ule upande ambao ulimtoa mchezaji wake (parent club)
Huo upande ndio wenye kuamua ku terminate mkopo na kumrejesha mchezaji wao.
Lakini kufanya hivyo watahitajika kulipa malipo ya awali waliyokubaliana kwenye mkataba
ashaonywaNasema hiviiii, huyo Baleke muda si mrefu Boko atampiga kipapai
Kuna short term loan na kuna long term loanNnavyo fahamu mimi hakuna mkopo wa msimu miwili
Baleke hatakiwi kubaki timu mbovu kama Mazembe.Navyojua kila kitu kinafanywa kulingana na makubaliano ya kimkataba waliyoafikiana.
Kama waliweka masharti hayo kwenye mkataba basi wanayo haki.
Uzuri wa mkataba huwa unatoa nafasi kwa pande zote mbili, wanaweza wakamtaka na Simba wakataka hela zaidi kwasababu alivyochukuliwa na wanaootaka kumchukua performance haikuwa sawa.
Kwasababu wakati yupo Tp Mazembe alikuwa hapati nafasi (alionekana mchezaji mwenye kiwango duni)
Maana yake mpaka wanamtaka tena washaona amekuwa improved, kawa improved kwasababu ya vitu alivyoongezewa akiwa Simba.
D. Are there any limits regarding how long a player can be on loan?Nnavyo fahamu mimi hakuna mkopo wa msimu miwili
Nikiwa kama shabiki wa SIMBA 🦁Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana wapinzani. Tunaweza kuongea kiushabiki tu kuwa kazifunga timu ndogo, lakini tujiulize hizi timu ndogo au dhaifu Mayele pia anakutana nazo lakini Kwanini hazifungi goli 2+?
Sijui kipengele cha utaratibu wa usajili wa mkopo upoje, kwamba mchezaji akipelekwa timu kwa miaka miwili n lazima aitumikie au timu iliyompeleka kwa mkopo wanaweza kumrejesha kikosini muda wowote wakimtaka. Wajuzi mtanifahamisha hilo kama ipo hivyo basi Simba kwasasa ni muda sahihi wa kuangalia namna ya kupata umiliki halali wa huyu mwamba ameonesha kitu kikubwa sana halafu kwa muda mchache sana.
Pamoja na kulia aliye waletea Sawadogo, basi mumshukuru sana kwa huyu Baleke