Kwa Msimu huu Baleke amethibitisha uwezo wake pamoja na kuja katikati ya msimu

Kwa Msimu huu Baleke amethibitisha uwezo wake pamoja na kuja katikati ya msimu

Tatizo umejiaminisha kila mtu anayekosoa kwa ku point negative things aonekane hater

Na ndio maana siku ile baada ya mechi nilikuonesha jinsi Nabi akifunguka mbele ya Camera akilaumu performance ya Azizi Ki

Nilikukumbusha kumuita Nabi hater lkwa kumsema negative Azizi Ki lakini haukufanya hivyo
ulianza kumponda Mayele hata haja anza kucheza, same to Azizi K too much negativity
 
Mkataba wa mkopo kama hunaisha means huyo mchezaji bado ni asset ya hiyo timu ambayo anachezea muda huo

Sheria za Fifa kuhusu loan zinaruhusu Mkopo kuvunjwa. Maamuzi haya yanegemea kufanywa na ule upande ambao ulimtoa mchezaji wake (parent club)

Huo upande ndio wenye kuamua ku terminate mkopo na kumrejesha mchezaji wao.

Lakini kufanya hivyo watahitajika kulipa malipo ya awali waliyokubaliana kwenye mkataba
Nnavyo fahamu mimi hakuna mkopo wa msimu miwili
 
Nnavyo fahamu mimi hakuna mkopo wa msimu miwili
Kuna short term loan na kuna long term loan

Short term inachukua mawiki kadhaa na ikizidi sana ni miezi sita

Long term loan inaweza kuchukua hadi miaka miwili
 
Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.

Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.

Katika hii MICHEZO akifunga MAGOLI 3 hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.

Kwa sasa nisiseme nikamaliza
 
Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.

Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.

Katika hii MICHEZO akifunga MAGOLI 3 hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.

Kwa sasa nisiseme nikamaliza
Sawa kwavile ni maoni yako
 
Navyojua kila kitu kinafanywa kulingana na makubaliano ya kimkataba waliyoafikiana.

Kama waliweka masharti hayo kwenye mkataba basi wanayo haki.

Uzuri wa mkataba huwa unatoa nafasi kwa pande zote mbili, wanaweza wakamtaka na Simba wakataka hela zaidi kwasababu alivyochukuliwa na wanaootaka kumchukua performance haikuwa sawa.

Kwasababu wakati yupo Tp Mazembe alikuwa hapati nafasi (alionekana mchezaji mwenye kiwango duni)

Maana yake mpaka wanamtaka tena washaona amekuwa improved, kawa improved kwasababu ya vitu alivyoongezewa akiwa Simba.
Baleke hatakiwi kubaki timu mbovu kama Mazembe.

Afanye analoweza kuhakikisha anachomoka pale, kama makubaliano ya kimkataba hayaruhusu, kazi kwake.
 
Nnavyo fahamu mimi hakuna mkopo wa msimu miwili
D. Are there any limits regarding how long a player can be on loan?
Yes, the new loan regulations establish a minimum and maximum duration in article 10 paragraph
1 d) of the RSTP as follows:
Minimum duration: the time between two registration periods
Maximum duration: one year
 
Baleke hatakiwi kubaki timu mbovu kama Mazembe.

Afanye analoweza kuhakikisha anachomoka pale, kama makubaliano ya kimkataba hayaruhusu, kazi kwake.
Hivi kumbe CAF super league zinachukuliwa hadi timu mbovu?
 
Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana wapinzani. Tunaweza kuongea kiushabiki tu kuwa kazifunga timu ndogo, lakini tujiulize hizi timu ndogo au dhaifu Mayele pia anakutana nazo lakini Kwanini hazifungi goli 2+?

Sijui kipengele cha utaratibu wa usajili wa mkopo upoje, kwamba mchezaji akipelekwa timu kwa miaka miwili n lazima aitumikie au timu iliyompeleka kwa mkopo wanaweza kumrejesha kikosini muda wowote wakimtaka. Wajuzi mtanifahamisha hilo kama ipo hivyo basi Simba kwasasa ni muda sahihi wa kuangalia namna ya kupata umiliki halali wa huyu mwamba ameonesha kitu kikubwa sana halafu kwa muda mchache sana.

Pamoja na kulia aliye waletea Sawadogo, basi mumshukuru sana kwa huyu Baleke
Nikiwa kama shabiki wa SIMBA 🦁
Ni
Mapema
Sana
Kumsema
BALEKE
Na
Sifa
Kem Kem
Tumpe
Muda
Bado
Mapema
Sana
Wana
Simba
We
Love
BALEKE
Ni
Mapema
Sana
Kumsifia
Kupita
KIASI
Cha
Kumvimbisha bichwa
Tunataka
Consistency
Aendelee
Kutupa
Raha
Mashabiki
Wa
SIMBA
SIMBA GUVU MOYA 🦁
 
Back
Top Bottom