Kwa msiojua mmakonde wa chitoholi anasoma QT

Kwa msiojua mmakonde wa chitoholi anasoma QT

Hii ndio tunaita black magic.

Kijana acha uchawi tafuta maisha yako
Japo elimu haina mwisho lakini kwa huyu mzee wa kukopi na kupesti ninaona anapoteza muda tu.

Kama alifeli kipindi kile hana mambo mengi kichwani zaidi ya elimu ya madrasa ndio ataweza sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mwenyewe alidhani akificha kwamba anasoma QT watu hatutajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sasa kujua tumeshajua na kufeli kupo pale pale .

Kwanza stress za kutopata mtoto zinamuumiza kichwa kila kukicha ndo ataweza kweli kuendana na kasi ya QT [emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom