Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kuna mzigo wakubeba.Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama. Ji hivyo kwa ni ni watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?
Mzigo gani?Kuna mzigo wakubeba.
Mzigo mzito kuutua.Mzigo gani?
Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama. Ji hivyo kwa ni ni watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?
Totally out!!!... suluhisho ni Katiba Mpya yenye nguvu, taasisi kuwa huru, kudhiti madaraka ya viongozi, n.k. hamtaki! Unadhani viongozi (wenye kinga) wangejua baada ya madaraka wanaweza kushtakiwa kwa madudu wanayofanya wakiwa madarakani wangefanya hivyo?
Hiyo ni namna mojawapo ya kudhibiti madara ya viongozi na kuwafanya wawe responsible zaidi badala ya kuwaza ushindi muda wote hata kwa kucheza rafu; rafu ambazo hata kuhojiwa mahamakani Katiba (ya sasa) imekataza! Hatari sana!
Kamuulize Trump hilo swali anaweza kuwa na jibu zuri zaidi ya wote.Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama. Ji hivyo kwa ni ni watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?
Hili swali lillikuwa zuri zaidi kumuuliza Marehemu nini kilifuata baada ya kusikia Membe anaimendea nafasi yakeKupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama. Ji hivyo kwa ni ni watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?
Upo sawa kabisa.Katiba inaruhusu mtu mwenye sifa kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi, inamruhusu kufanya shughuli za kisiasa na sioni kwanini iwe jinai mtu kufanya mipango yake ya kugombea nafasi gani kama hafanyi mipango ya mapinduzi.
Hivi na Ulaya/ Amerika nao wanakaripio kali kama Africa iwapo mtu atatangaza nia mapema.Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama ni hivyo kwa nini watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?