Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Pesa inatosha kununua air ticket na kununua mzigo. Tatizo litakuwa kwenye how to make profit. Sababu exchange rate in mbaya mno. Labda jaribu kuilizia namna ya kutumia visa card ili ukiwa China utoe pesa kwenye bank badala ya kuchange pesa from Tsh to USD kisha USD to Yuan.
Unaweza kuchanji pesa ya Tanzania kwenda ya china au mpaka uchenji iwe dollar nieleweshe apo
 
Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
Mim naona hii pesa n nying kuchukulia bidhaa but n ndogo ukijumlisha gharama za usafirishaji kutoka huko China na Kodi zetu hapa Bongo kwan sio rafik sana kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo.

USHAURI WANGU:-
Kaa fanya utafiti wa gharama za bidhaa unazoenda nunua,gharama za usafirishaji na kodi and then faida utakayoipata baada ya kuuza bidhaa yote na hapo fanya maamuz sahihi.
 
Wazo zuri, asante mkuu.
 
Sure kabisa huyo jamaa ni mjuaji kinyama

Yaani humu JF yeye ndio anajua kila kitu

Ana chuki balaa ni maskini was fikra .

Kiss anajua kuandika basi kushuka mgazeti sio iahu kwake.

Anadhani watu wote humu ndani ni vilaza kama yeye.

Watu wana experience za maisha tofauti tofauti humu sie yeye exeperimce za kugoogle data .

Yaani huyu mshamba sana

Hahahahahaha

Watu wa exaggeration hua mkiwa busted mna mind sana,mnaita watu wana wivu na nyie....

Mtu kaomba information,mpe,nini mbwembwe aisee?
 
Huyo hata marekani hajafika yuko kwa mfugambwa hapo kwa shemeji yake

Dizaini ya watu kama yeye huwa wazembe wazembe wa kitaa hawa mbele wala nyuma

Hahahaaa

Naona umekua mganga mzee wa kujua watu wakoje na wanafanya nini....

Wewe mwenyewe huenda ni mbeba box hata zaidi sema unajibaraguza tu....

Either way,ukisema au ku-propagate UONGO au mbwembwe unatu-offend na ni lazima tuku-mind,we are sorry for this!
 
Hako kajamaa ni kajuaji sana, yaan kanajifanyaga kila kitu kanajua! Hapo hata jamaa angesema anataka kwenda brunei akafunge mzigo nako kangedandia " napajua brunei, nimekaa sana"

Mkuu

Mtu aliomba information tu jinsi ya kununua mzigo na mambo mengine China kibiashara,nk

Sasa ndugu yangu wa mbwembwe kaanza kwa "Mimi ndio naijua China kuliko,njoo nikupe machimbo utapigwa,etc"...

Sasa mzee,why all these mbwembwe,kwanini usimpe information tu na ushauri as per your know how na sio kujifanya hollyier and best than though to begin with,nikatoa caution kwa muhusika kua achanganye na akili yake....

Hiyo ni chuki au wivu?Bro,stop this madness bana!
 
Dude nimekufuatilia toka kwenye ule uzi wa AY kumiliki nyumba USA!!!
Nikwambie kitu?yaani wewe jamaa una chuki sana,halafu chuki zenyewe za kishamba yani kila kitu unakijua wewe hupitwi na kitu watu dizain yako bongo tumeanza kuwasahau nashangaa wewe sijui umejificha wapi!

Watu humu tunatumiana million of shillings na watu ambao hatujawahi kuwaona hata kwa kuhisi ni yule au huyu na tunaletewa vitu vile vile kama tulivyokubaliana bila longo longo hakuna siku nimeachwa,tatizo lako wewe ni mjanja mjanja unaona usivyoaminika basi na wote hawaaminiki!

Pia kumbuka siyo kila mtu anajua kila kitu,kuna ambavyo wewe unavijua mie sivijui na kuna ambavyo mimi navijua wewe huvijui hivyo tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama unahisi una ufahamu sana na jambo fulani ipe akili yako nafasi ya kukubali ufahamu wa mwenzako.

Bro,

Kuhusu issue ya AY ipo closed,alidanganya na mimi niliweka bayana uongo wake na wala sina agenda yoyote....

Nyie mlivyo na matatizo ya kupenda UONGO mkawa mnatetea UONGO,but thats aside...

Hii hapa leo ni angalizo nimetoa kwa ndugu wa 50mil kua achanganye na "akili zake" maana haiwezekani mtu kaulizia information wewe unaanza na mbwembwe "Naijua China zaidi ya watu wote,nifate nikupe machimbo,utapigwa..etc"....Why mbwembwe namna hii?Kwanini usitoe tu information kwa muhusika kama alivyoomba?

Kwani kumuambia mtu achanganye na zake ni kwamba nimekosea au nina "wivu" na mtu?

Tatizo labda una personal beef na mimi of which Im not aware of...Kama you have any personal problem with me,just face me and we have that wrapped up like men.
 
Bro,

Kuhusu issue ya AY ipo closed,alidanganya na mimi niliweka bayana uongo wake na wala sina agenda yoyote....

Nyie mlivyo na matatizo ya kupenda UONGO mkawa mnatetea UONGO,but thats aside...

Hii hapa leo ni angalizo nimetoka kwa ndugu wa 50mil kua achanganye na "akili zake" maana haiwezekani mtu kaulizia information wewe unaanza na mbwembwe "Naijua China zaidi ya watu wote,nifate nikupe machimbo,utapigwa..etc"....Why mbwembwe namna hii?Kwanini usitoe tu information kwa muhusika kama alivyoomba?

Kwani kumuambia mtu achanganye na zake ni kwamba nimekosea au nina "wivu" na mtu?

Tatizo labda una personal beef na mimi of which Im not aware of...Kama you have any personal problem with me,just face me and we have that wrapped up like men.

Wewe jamaa ni mtata sana na unapenda ligi.

Halafu unaandika mgazeti mkubwa kwa Kiswahili fasaha hukosei neno hata moja. Sijui unapata wapi huu muda. [emoji3][emoji3]
 
Dude nimekufuatilia toka kwenye ule uzi wa AY kumiliki nyumba USA!!!
Nikwambie kitu?yaani wewe jamaa una chuki sana,halafu chuki zenyewe za kishamba yani kila kitu unakijua wewe hupitwi na kitu watu dizain yako bongo tumeanza kuwasahau nashangaa wewe sijui umejificha wapi!

Watu humu tunatumiana million of shillings na watu ambao hatujawahi kuwaona hata kwa kuhisi ni yule au huyu na tunaletewa vitu vile vile kama tulivyokubaliana bila longo longo hakuna siku nimeachwa,tatizo lako wewe ni mjanja mjanja unaona usivyoaminika basi na wote hawaaminiki!

Pia kumbuka siyo kila mtu anajua kila kitu,kuna ambavyo wewe unavijua mie sivijui na kuna ambavyo mimi navijua wewe huvijui hivyo tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama unahisi una ufahamu sana na jambo fulani ipe akili yako nafasi ya kukubali ufahamu wa mwenzako.

Kumbe umeona kama mimi!
 
Napenda kujifunza kila kitu JF,kwani nakua napata fikra mpya na pana katika nyanja mbali mbali za maisha kwa ujumla! Nilikua siujui Mji huu Yi Wu!
 
Nenda China Mkuu hela ni nyingi hiyo na ni vizuri pia kama utakua na duka sehemu ili ukifika mzigo uwe nao Dukani usikopeshe kaa na Mali yako kuliko ukopeshe hela huoni wala mzigo hakuna...
watumie silent ocean ni agent wazuri wanafikisha mzigo bila tatizo ukifika China jiamini kuwa unaweza usiwatumie madali kutaka kujua vitu toka na taarifa hapa ya wapi unaenda hotel za kumwaga train na tax...dalali akienda na wewe anakuongezea cent kwa kila bidhaa utakayonunua itakuongezea cost bure...
Siku ya kwanza zunguka kujua bei ya bidhaa unayotaka masoko tofauti ukirudi hotel piga hesabu zako ukiona zinafaa nunua na wasiliana na silent ukiwa kule ili ujue gharama zao pia kabla hujanunua mzigo..
Mtangulize Mnyaazi Mungu sana kwenye mambo yako utafanikiwa Mkuu.
 
Asante sana bwana Isanga, Ushauri wako umejaa madini tupu, kweli JF ni chuo.
 
Back
Top Bottom