Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Duuu m50 nying sana iyo...mkuu ebu nikopeshe kamilion 3 tu mjini wanifahamau na mm
 
Yi Wu ndio chimbo la dunia kule China ndio kuna kila kitu cha jumla, hata hao wachina wa guang-zhou wanachukua mali huko

Hamna mpare mwezangu yuwi wanasifika kwa kuuza maronyaronya alafu yuwi kuna baadhi ya bidhaa zinapatikana kule Na Guanzhou hakuna so inategemea unanunua nn
Mfano

YUWI

Vifaa vya ujenzi
Urembo
Stationary
Na vitu vidogo vidogo vya wamachinga vipo sana yuwi

GUANGZHOU

Nguo
Electronic kwa sababu shenzhen ni karibu sana na Guanzhou
Ujenzi upo bt high quality foshan
Viatu
Vitu vyote high quality
Guanzhou ndio mji wa biashara china
 
Lakini foshan iko nje kabisa ya guang-zhou.. Na kwa ceramics nakubaliana nawe
Yi Wu ni sehemu ya kutengeneza, guang-zhou ni sehemu ya kuuzia... Hivyo ukifanikiwa kufika Yi Wu unapata vitu bei rahisi kuliko guang-zhou... Na sikweli kuwa Yi wu kuna malonyalonya inategemea umepelekwa wapi kwakuwa hata hiyo Guang-zhou yenyewe kuna wapigaji wengi tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dude nimekufuatilia toka kwenye ule uzi wa AY kumiliki nyumba USA!!!
Nikwambie kitu?yaani wewe jamaa una chuki sana,halafu chuki zenyewe za kishamba yani kila kitu unakijua wewe hupitwi na kitu watu dizain yako bongo tumeanza kuwasahau nashangaa wewe sijui umejificha wapi!

Watu humu tunatumiana million of shillings na watu ambao hatujawahi kuwaona hata kwa kuhisi ni yule au huyu na tunaletewa vitu vile vile kama tulivyokubaliana bila longo longo hakuna siku nimeachwa,tatizo lako wewe ni mjanja mjanja unaona usivyoaminika basi na wote hawaaminiki!

Pia kumbuka siyo kila mtu anajua kila kitu,kuna ambavyo wewe unavijua mie sivijui na kuna ambavyo mimi navijua wewe huvijui hivyo tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama unahisi una ufahamu sana na jambo fulani ipe akili yako nafasi ya kukubali ufahamu wa mwenzako.
Dah...wanaume huwa hatufuatiliani bana...labda wewe uwe mtu wa kitengo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pesa inatosha kununua air ticket na kununua mzigo. Tatizo litakuwa kwenye how to make profit. Sababu exchange rate in mbaya mno. Labda jaribu kuilizia namna ya kutumia visa card ili ukiwa China utoe pesa kwenye bank badala ya kuchange pesa from Tsh to USD kisha USD to Yuan.
Kama ana Master Card anaweza kuchukua pesa bank of China bila shaka bila kulazimika kubadili kutoka Tshs-dola- RMB
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama ana Master Card anaweza kuchukua pesa bank of China bila shaka bila kulazimika kubadili kutoka Tshs-dola- RMB
kwa mfano nikiondoka hapa na master card alafu nikifika china ni change tshs kwa RMB, itawezekana?
 
Kwenye ATM unachukua RMB moja kwa moja bosi. Ila sina hakika maximum amount unayoweza kutoa kwa siku.
 
hapo jee
Screenshot_20181209-102747.jpeg
 
Wanapigwaje?kwa faida yangu na wengine
Unataka kubadili dola kwa mfano sehemu rasmi, mara anatokea mtu anakupa rate ya kuvutia ukikubali umepigwa
Unatoa yuan 100 kwenye tax, dereva anaichukua halafu anakurudishia anakwambia ni feki, kumbe kakubadilishia
Unaenda kwenye chimbo la vitu og anatokea mtu kukushawishi akipeleke kwenye chimbo la bei poa zaidi, ukikubali unaweza hata kujiua
Mifano ni mingi sana
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Lakini foshan iko nje kabisa ya guang-zhou.. Na kwa ceramics nakubaliana nawe
Yi Wu ni sehemu ya kutengeneza, guang-zhou ni sehemu ya kuuzia... Hivyo ukifanikiwa kufika Yi Wu unapata vitu bei rahisi kuliko guang-zhou... Na sikweli kuwa Yi wu kuna malonyalonya inategemea umepelekwa wapi kwakuwa hata hiyo Guang-zhou yenyewe kuna wapigaji wengi tu
Kwani lonyalonya ni nini? Wabongo wengi bidhaa wanazochukua China kuleta Tz ni lonya tu. Iwe electronics,iwe hardware stuff low quality tu.
 
Back
Top Bottom