Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Hii ni kweli kabisa. Mkuu hawa jamaa kama wachaga mwezi w 12 kwao. Ila china [emoji630] mwaka mpya wa kichina ni January mambo yanakua sawa mpaka mwezi wa tatu hv.
Nashukuru kwa taarïfa, ila nasikia mwaka huu itaanza tar 5 feb.
 

WhatsApp me +8618857052304
Nikutembeze kwenye hayo masoko! Maana na mimi pia nafanya sourcing business! Huku nasoma in my free time huwa naenda kufunga mizigo!
I can assist you with a commision fee!!
Here’s my Instagram page @panda_sourcing
 

Ni vyema kuwasiliana na bank yako kabla hujasafiri.
Ili waweze kuiruhusu ATM card yako kuweka kutoa pesa bila limitation kwa siku. Hii inakuwa rahisi kufanya biashara.
 
Wadau, Kuna mtu amenïjulisha kuwa ikifika mwezi wa kwanza china huwa hakuna biashara mpaka mwezi wa pili kwani kwao huo ni mwezi wa mapumziko, je ni kweli?

Yes, hii ni kweli! Holiday inaisha trh 14 February hivi! Wachina watakuwa wanarudi kwenye biashara zao na production kwenye factories inaaendelea!
 
Ndugu mbona kuna watu wanakwenda na mitaji midogo China wanafunga mizigo yao na wanarud?Tena husafirisha kwa ndege wala sio kwa meli, why useme mil 50 ndogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…