Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Hii ni kweli kabisa. Mkuu hawa jamaa kama wachaga mwezi w 12 kwao. Ila china [emoji630] mwaka mpya wa kichina ni January mambo yanakua sawa mpaka mwezi wa tatu hv.
Nashukuru kwa taarïfa, ila nasikia mwaka huu itaanza tar 5 feb.
 
Ni

Nimeelekezwa na wadau niende guanzhou, nasikia ndio sehemu kuna bidhaa nyingi zinazokubalika kwenye soko letu, Nina idea kama nne, ya kwanza ni elecronics vitu kama ear phone, memory card, charger, fm radio , saa na nk,,ya pili chupi za kike, leso, boxer na sox, ya tatu ni vinguo vya watoto wachanga, ya nne toys za kufundishia, nisaidie kwa hayo mdau.

WhatsApp me +8618857052304
Nikutembeze kwenye hayo masoko! Maana na mimi pia nafanya sourcing business! Huku nasoma in my free time huwa naenda kufunga mizigo!
I can assist you with a commision fee!!
Here’s my Instagram page @panda_sourcing
 
Pesa inatosha kununua air ticket na kununua mzigo. Tatizo litakuwa kwenye how to make profit. Sababu exchange rate in mbaya mno. Labda jaribu kuilizia namna ya kutumia visa card ili ukiwa China utoe pesa kwenye bank badala ya kuchange pesa from Tsh to USD kisha USD to Yuan.

Ni vyema kuwasiliana na bank yako kabla hujasafiri.
Ili waweze kuiruhusu ATM card yako kuweka kutoa pesa bila limitation kwa siku. Hii inakuwa rahisi kufanya biashara.
 
Wadau, Kuna mtu amenïjulisha kuwa ikifika mwezi wa kwanza china huwa hakuna biashara mpaka mwezi wa pili kwani kwao huo ni mwezi wa mapumziko, je ni kweli?

Yes, hii ni kweli! Holiday inaisha trh 14 February hivi! Wachina watakuwa wanarudi kwenye biashara zao na production kwenye factories inaaendelea!
 
Mim naona hii pesa n nying kuchukulia bidhaa but n ndogo ukijumlisha gharama za usafirishaji kutoka huko China na Kodi zetu hapa Bongo kwan sio rafik sana kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo.

USHAURI WANGU:-
Kaa fanya utafiti wa gharama za bidhaa unazoenda nunua,gharama za usafirishaji na kodi and then faida utakayoipata baada ya kuuza bidhaa yote na hapo fanya maamuz sahihi.
Ndugu mbona kuna watu wanakwenda na mitaji midogo China wanafunga mizigo yao na wanarud?Tena husafirisha kwa ndege wala sio kwa meli, why useme mil 50 ndogo?
 
Back
Top Bottom